Serikali itegue kitendawili cha mabomu Arusha
Tunasikitishwa na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya mabomu katika Jiji la Arusha, ambapo katika kipindi kifupi tu kisichozidi miezi 18 yametokea matukio saba ambayo yamesababisha vifo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mabomu yazidi kutikisa Arusha
11 years ago
Habarileo01 Aug
Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.
11 years ago
Habarileo20 Dec
Ushahidi mabomu ya Arusha watakiwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema), kuwasilisha tuhuma zote alizonazo dhidi ya Polisi, kudaiwa kumtesa mtuhumiwa wa bomu lililolipuka katika eneo la Olositi, mkoani Arusha kwenye mkutano wa Chadema.
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Kitendawili cha Waziri Mkuu
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Kitendawili cha wanajeshi wa UG S.Kusini
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Milipuko ya mabomu Arusha ina nia gani?
WAKATI matokeo ya uchunguzi wa milipuko ya mabomu ya awali katika Jiji la Arusha hayajajulikana, mlipuko mwingine wa bomu umetokea jijini humo na kujerhi vibaya watu zaidi ya 17 waliokuwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Mabomu Arusha yatawala hotuba za Mei Mosi
SHEREHE za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mkoani Arusha zimetawaliwa na hotuba kuhusu milipuko ya mabomu iliyosababisha vifo vya watu na kuwaacha wengine na ulemavu wa kudumu. Hotuba hizo zilitolewa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kKeY8ZcLXOs/VEU_9qSQp5I/AAAAAAAGsFo/bxNUwmoG8y0/s72-c/New%2BPicture%2B(3).bmp)
KIONGOZI WA ULIPUAJI WA MABOMU JIJINI ARUSHA AUWAWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-kKeY8ZcLXOs/VEU_9qSQp5I/AAAAAAAGsFo/bxNUwmoG8y0/s1600/New%2BPicture%2B(3).bmp)
Kiongozi wa matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Arusha,SACP Liberatus Sabas (pichani) Alisema kuwa tukio hilo limetokea October 19 majira ya saa tano na nusu katika barabara ya babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia polisi.
Alisema kuwa...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mabomu saba yakamatwa Arusha, 25 watiwa mbaroni