Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muarobaini ulipuaji wa mabomu watimia


NA RABIA BAKARI
SERIKALI imesema imeweka mikakati ya kudhibiti milipuko ya mabomu inayoendelea kutokea nchini.
Akizungumza na Mzalendo, juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, alisema hawezi kutaja aina ya  mikakati, lakini ipo na ni mikubwa.
“Tumejipanga kikamilifu na kwa nguvu zote kukomesha hali hii, tukisema tutafanya nini itakuwa si vizuri maana tutawapa maadui zetu nafasi ya kutujua, lakini wewe fahamu mikakati ipo na mikubwa,” aliongeza.
Aliwataka wananchi kuwa wepesi wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA ULIPUAJI WA MABOMU JIJINI ARUSHA AUWAWA

Na Woinde Shizza,Arusha.
Kiongozi wa  matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Arusha,SACP Liberatus Sabas (pichani) Alisema kuwa tukio hilo limetokea  October 19 majira ya saa tano na nusu  katika barabara ya babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia polisi.
Alisema kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ulipuaji mabomu wawapa hofu wenye ulemavu

VITENDO vya ulipuaji wa mabomu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi mara kwa mara, vimekuwa vikilaumiwa na watu wenye ulemavu. Lawama hizi zinatokana na watu hao kushindwa kujitetea katika kujiokoa kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Gaidi mkuu wa ulipuaji wa mabomu auwawa Arusha na Polisi

1

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.

Kiongozi wa  matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.

Akithitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio hilo limetokea  October 19 majira ya saa tano na nusu  katika barabara ya Babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi latangaza dau kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa kinara wa matukio ya kigaidi na ulipuaji wa mabomu nchini

IMG-20140814-WA0000

‘Sensei’ Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya ulipuaji wa mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha).

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliokufa na Ebola watimia 7,000 sasa

WHO yasema idadi ya watu waliokufa kwa sababu ya Ebola imeongezeka na kufikia elfu saba

 

11 years ago

Habarileo

Msajili atafuta muarobaini ghasia uchaguzi mdogo

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini inatafuta njia ya kudhibiti vurugu zinazojitokeza katika uchaguzi mdogo nchini. Hatua hiyo inatokana na kile walichobaini kuwa vurugu hizo hazipaswi kuwepo hasa, ikizingatiwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUUPATIA MUAROBAINI MGOGORO WA ENEO LA ITUHA MBEYA-WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila wakikagua ramani ya eneo la Ilomba lenye mgogoro kati ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo-TARI Uyole na wananchi kabla ya kufanya ziara kugagua maeneo hayo wakiambatana na wananchi jana Tarehe 9 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo) Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila wakiambatana na wananchi wakikagua eneo la Ilomba lenye mgogoro kati...

 

11 years ago

Mwananchi

Ulipuaji miamba marufuku usiku

Wachimbaji wa madini katika Kijiji cha Nsungwa kwenye machimbo ya dhahabu wamepigwa marufuku kulipua miamba kwa kutumia baruti wakati wa usiku.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi waandamana kupinga ulipuaji GGM

WANANCHI wa kijiji cha Katoma mkoani hapa wameandamana kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Omar Manguchie, kupinga shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu unaoendeshwa na kampuni ya dhahabu ya Geita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani