Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msajili atafuta muarobaini ghasia uchaguzi mdogo

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini inatafuta njia ya kudhibiti vurugu zinazojitokeza katika uchaguzi mdogo nchini. Hatua hiyo inatokana na kile walichobaini kuwa vurugu hizo hazipaswi kuwepo hasa, ikizingatiwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Makumi wauawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Burundi

Serikali ya Burundi imekiri kuua watu 22 ndani ya siku chache zilizopita, kwa tuhuma za kufanya 'makosa' yanayohusishwa na uchaguzi mkuu ujao.

Vyombo vya dola nchini humo vimeripoti kuwa, watu hao waliuawa katika mji mkuu Bujumbura, na kwamba maafisa wawili wa polisi wameuawa pia katika ghasia hizo za kabla ya uchaguzi.

Vyombo vya usalama nchini Burundi vimesema kuwa, vimewatia mbaroni watu sita wanaohusishwa na uhalifu huo wa kabla ya uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu....

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Ghasia atimua wakurugenzi walioboronga Uchaguzi Serikali za Mitaa

Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa Ghasia amewasimamisha kazi wakurugenzi wa halmashauri  mbalimbali kutokana na  kuchelewa kuandaa  na kupeleka vifaa vya kupigia kura pamoja na uzembe katika kutekeleza majukumu yao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima Jumapili iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisi ya Msajili yakwama ripoti gharama za uchaguzi wa 2010

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeshindwa kutoa ripoti ya gharama za uchaguzi zilizotumiwa na wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwamo ubunge na urais katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2010.

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo

TUME ya Taifa ya uchaguzi imevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuhakikisha kuwa wanawatumia mawakala wanaotoka katika maeneo au vituo husika vya kupigia kura,ambao watawafahamua na kuwatambua wapiga kura wa eneo husika. 
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...

 

9 years ago

GPL

KUELEKEA UCHAGUZI... MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAMBULISHA KAMPENI YA AMANI

Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi (katikati) akizungumza na wanahabari mapema leo, kulia ni msanii wa tungo za kiswahili, Mrisho Mpoto na kulia ni mwimbaji wa nyimbo za Injili, Christina Shusho. Msanii wa nyimbo za asili, Mrisho Mpoto akizungumza wakati wa mkutano huo. TAAARIFA KWA VYOMO VYA HABARI Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, pamoja na majukumu yake ya msingi, inayo pia jukumu la...

 

10 years ago

Mwananchi

Msajili avinyoshea kidole vyama vya siasa, ataka viheshimu Sheria ya Uchaguzi

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitahadharisha vyama vya siasa kuzingatia Sheria ya Gharama za Uchaguzi wakati mchakato wa kutafuta wagombea ukiendelea.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. HAWA GHASIA ASEMA HAJIUZULU NG'O KUFUATIA KASHFA YA KUVURUGIKA KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA


Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema leo Jumatano Desemba 17, 2014, kuwa hatajiuzulu ng’o kutoka wadhifa wake, kufuatia kashfa ya kuvurugika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini Jumapili iliyopita. Badala yake, waziri Ghasia amesema wakurugenzi watano wamefutwa kazi, huku wenghine kadhaa wamesimamishwa na wengine kushushwa vyeo. Waziri Ghasia, akitoka kwenye cnhumba cha mkutano na waandishi wa habafri mara baada ya kuzungumza...

 

11 years ago

Habarileo

Uchaguzi mdogo janga Chadema

Dk Kitila MkumboMATOKEO ya uchaguzi mdogo uliofanyika nchi nzima katika kata 27, zilizopo ndani ya mikoa 15 na kuipa CCM ushindi yamerejesha kilio katika uongozi wa Chadema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani