Ofisi ya Msajili yakwama ripoti gharama za uchaguzi wa 2010
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeshindwa kutoa ripoti ya gharama za uchaguzi zilizotumiwa na wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwamo ubunge na urais katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2010.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ofisi ya Msajili yasukwa
WAJUMBE wa Bunge la Katiba, wamezifanyia maboresho makubwa Ibara za 197, 198 na 119 za sehemu ya tatu ya Sura ya 12 ya Rasimu ya Katiba kuhusu usajili na usimamizi...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Chadema: Ofisi ya Msajili inatumiwa
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Ofisi ya Msajili yapata vifaa maalumu
![Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kupokea msaada wa vifaa maalumu vya kieletroniki kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa shirika hilo, Philippe Poinsot. Picha na Deus Mhagale.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/msajili-vyama.jpg)
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kupokea msaada wa vifaa maalumu vya kieletroniki kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa shirika hilo, Philippe Poinsot. Picha na Deus Mhagale.
GRACE SHITUNDU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limekabidhi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, vifaa maalumu vya kuhifadhi kumbukumbu...
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Ofisi ya Msajili wa Vyama yapigwa ‘tafu’
SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imepokea msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama), vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200. Vifaa hivyo...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Ofisi ya Msajili iheshimu mipaka yake
10 years ago
Vijimambo06 Oct
Lembeli: CCM ilinihujumu uchaguzi 2010
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2476918/highRes/844597/-/maxw/600/-/5egg5tz/-/lembeli+clip.jpg)
Dodoma. Mbunge wa Kahama, James Lembeli amemtuhumu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuph Makamba kwamba alikuwa nyuma ya mpango mahususi wa kumhujumu ili akose ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.Lembeli, mmoja wa wabunge walio mstari wa mbele katika vita dhidi ya ufisadi, alisema mpango huo ulitekelezwa kwa kueneza taarifa za kuanzisha jimbo la Ushetu ambalo alitakiwa agombee badala ya...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Lembeli: CCM ilinihujumu uchaguzi 2010
5 years ago
MichuziOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Yapongezwa Uandaaji Bajeti
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lwxfeD2hI7U/VdXmC_QsmuI/AAAAAAAHyow/aD9K5g2NN-s/s72-c/003.jpg)