Lembeli: CCM ilinihujumu uchaguzi 2010
Mbunge wa Kahama, James Lembeli amemtuhumu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuph Makamba kwamba alikuwa nyuma ya mpango mahususi wa kumhujumu ili akose ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo06 Oct
Lembeli: CCM ilinihujumu uchaguzi 2010
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2476918/highRes/844597/-/maxw/600/-/5egg5tz/-/lembeli+clip.jpg)
Dodoma. Mbunge wa Kahama, James Lembeli amemtuhumu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuph Makamba kwamba alikuwa nyuma ya mpango mahususi wa kumhujumu ili akose ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.Lembeli, mmoja wa wabunge walio mstari wa mbele katika vita dhidi ya ufisadi, alisema mpango huo ulitekelezwa kwa kueneza taarifa za kuanzisha jimbo la Ushetu ambalo alitakiwa agombee badala ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-WUnpghQIhTk/VbQ5DnCPGCI/AAAAAAAAFXI/QF3NEQdt4A8/s72-c/HEPAUTWA.jpg)
HEPAUTWA:NAFAHAMU MAUMIVU YALIYOTOKEA KWA WANA CCM BAADA YA KUICHAGUA CHADEMA UCHAGUZI WA MWAKA 2010
![](http://4.bp.blogspot.com/-WUnpghQIhTk/VbQ5DnCPGCI/AAAAAAAAFXI/QF3NEQdt4A8/s640/HEPAUTWA.jpg)
Na Friday Simbaya, Iringa
KADA maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa mjini Iringa, Nuru Hepautwa amesema anafahamu maumivu yaliyotokea kwa wana CCM baada ya kuachia jimbo hilo mikononi mwa Chadema katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini akaahidi kuyamaliza endapo atapewa ridhaa hiyo.
Hepautwa ambaye pia ni mfadhili wa mashindano ya soka yaliyojizolea umaarufu mjini Iringa ya...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Ofisi ya Msajili yakwama ripoti gharama za uchaguzi wa 2010
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
CCM na mzimu wa 2010 Mbeya
WAKATI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jijini Mbeya kikikuna kichwa jinsi ya kulirudisha jimbo hilo kat
Mwandishi Wetu
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Kinana katika ziara ya kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kimanzichana jana wakati alipoanza ziara yake ya mikoa ya Pwani ,Tanga na Iringa Ikiwa ni kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 huku akihimiza wananchi kushiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo katika maeneo yao, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi na leo amefanya shughuli mbalimbali katika ziara hiyo. (PICHA NA...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Lembeli aichanganya CCM
WIKI moja baada ya Mbunge wa Kahama, James Lembeli (CCM), kutoa kauli inayofananishwa na ile ya hayati Baba wa Taifa, Julius Nyerere, ya kwamba chama hicho si mama yake, uongozi...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Lembeli: CCM si mama yangu
JUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, James Lembeli (CCM), amesema kuwa yuko tayari kufanyiwa lolote na chama chake lakini kamwe hatatengua msimamo wake wa kudai Serikali ya Tanganyika. Kauli hiyo...
11 years ago
Habarileo08 Apr
Lembeli aichefua CCM Shinyanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga kimeeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na mwanachama wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Kahama, James Lembeli kwamba CCM si mama yake.
10 years ago
Mwananchi13 May
CCM: Haya ndiyo tuliyoshindwa, kufanikiwa Ilani ya 2010/2015