Ofisi ya Msajili yapata vifaa maalumu
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kupokea msaada wa vifaa maalumu vya kieletroniki kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa shirika hilo, Philippe Poinsot. Picha na Deus Mhagale.
GRACE SHITUNDU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limekabidhi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, vifaa maalumu vya kuhifadhi kumbukumbu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog11 Sep
UNDP kupitia mradi wa DEP yakabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200 kwa ofisi ya msajili wa vyama
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi.
Na Mwandishi wetu
SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imepokea msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama), vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200.
Vifaa hivyo ambavyo ni kompyuta za mezani, ‘Scanner’, ‘printer’, mashine ya kutolea nakala (photocopy), simu za mkononi, kompyuta mpakato pamoja na meza, ambavyo vimetolewa na Shirika la Kimataifa la Mradi wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP),...
11 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ofisi ya Msajili yasukwa
WAJUMBE wa Bunge la Katiba, wamezifanyia maboresho makubwa Ibara za 197, 198 na 119 za sehemu ya tatu ya Sura ya 12 ya Rasimu ya Katiba kuhusu usajili na usimamizi...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Chadema: Ofisi ya Msajili inatumiwa
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Ofisi ya Msajili wa Vyama yapigwa ‘tafu’
SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imepokea msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama), vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200. Vifaa hivyo...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Ofisi ya Msajili iheshimu mipaka yake
11 years ago
Mwananchi24 Aug
Ofisi ya Msajili yakwama ripoti gharama za uchaguzi wa 2010
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Zanzibar yapata sarafu maalumu ya mapinduzi
5 years ago
MichuziOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Yapongezwa Uandaaji Bajeti
10 years ago
Michuzi