Zanzibar yapata sarafu maalumu ya mapinduzi
>Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein jana amepokea rasmi Sarafu ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar huko katika Viwanja vya Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar-SUZA Kampasi ya Beit el Ras.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania11 Sep
Ofisi ya Msajili yapata vifaa maalumu

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kupokea msaada wa vifaa maalumu vya kieletroniki kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa shirika hilo, Philippe Poinsot. Picha na Deus Mhagale.
GRACE SHITUNDU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limekabidhi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, vifaa maalumu vya kuhifadhi kumbukumbu...
11 years ago
Michuzi04 Apr
Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja


5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Vijimambo
ZANZIBAR YAPATA MAFURIKO


10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Zanzibar na miaka 51 ya Mapinduzi
11 years ago
Habarileo13 Jan
Mafanikio ya Mapinduzi Zanzibar
MAPINDUZI ya Zanzibar jana yalitimiza miaka 50, huku Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akielezea mafanikio ya kupigiwa mfano, yaliyotokana na uongozi wa kizalendo katika muda huo.
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Baada ya mapinduzi Zanzibar
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Miaka 51 Mapinduzi ya Zanzibar