ZANZIBAR YAPATA MAFURIKO

Maeneo ya Mpendae na baadhi ya maeneo Zanzibar nyumba zikiwa zimefurika maji kutokana na mvua kubwa zilizonyesha leo
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Zanzibar yapata sarafu maalumu ya mapinduzi
>Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein jana amepokea rasmi Sarafu ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar huko katika Viwanja vya Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar-SUZA Kampasi ya Beit el Ras.
11 years ago
Habarileo06 Jan
MV Kilimanjaro yapata ajali Zanzibar, sita wafariki
WATU sita wamefariki dunia na wengine watatu kuokolewa katika boti ya abiria ya MV Kilimanjaro iliyokumbwa na dhoruba ya mawimbi makali kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa baharini.
5 years ago
Michuzi
ZANZIBAR YAPATA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMA JOTO



10 years ago
Michuzi08 Apr
SHAMY TOURS YA ZANZIBAR YAPATA LESENI YA UTALII SWEDEN

10 years ago
Michuzi
Jumuiya ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) yapata viongozi wapya
Na Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar Mwanahabari Abdallah Abdulrahman Mfaume amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) kwenye mkutano mkuu wa jumuiya hiyo uliombatana na Uchaguzi wa viongozi wapya katika ukumbi wa Ekrotanal Mjini Unguja. Bw. Mfaume aliibuka mshindi baada ya kupata kura 40 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Bw. Suleiman Abdalla ambae alipata kura tisa. Katibu Mtendaji wa ZPC Faki Mjaka ambaye hakuwa na Mpinzani alipata kura 46 na...
11 years ago
MichuziZANZIBAR YAPATA MSAADA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA YA SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA
10 years ago
Michuzi
RED CROSS YAKABIDHI MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO ZANZIBAR
Chama cha Msalaba mwekundu Tanzania { red Cross } kimekabidhi msaada wa viatu Pair 90 kwa ajili ya watoto wa familia zilizowekwa Kambini katika Skuli ya Sekondari ya Mwanakwerekwe “C” baada ya Nyumba zao kujaa maji ya mvua.
Msaada huo umefuatia Mvua za Masika zilizotokea usiku wa kuamkia Tarehe 3 Mei mwaka huu na kuleta maafa makubwa yaliyosababisha zaidi ya Nyumba 700 kuathirika ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi na kuzikosesha makaazi Familia zilizokuwa zikiishi katika nyumba hizo.
Ujumbe ...
Msaada huo umefuatia Mvua za Masika zilizotokea usiku wa kuamkia Tarehe 3 Mei mwaka huu na kuleta maafa makubwa yaliyosababisha zaidi ya Nyumba 700 kuathirika ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi na kuzikosesha makaazi Familia zilizokuwa zikiishi katika nyumba hizo.
Ujumbe ...
10 years ago
VijimamboBAADHI YA MAENEO MENGINE YALIKUMBWA NA MAFURIKO HUKO ZANZIBAR BAADA YA MVUA YA MASAA MANANE MFULULIZO
Posta ya Kijangwani hakuna alietuma wa kupokea barua, ni kizaizai tu
Hii inanikumbusa sunami iliyotokea Indonesia ilikushanya marundo ya mataka kama hivi
Kiwanja cha kufurahishia watoto kikiwa kimejaa maji kote, Marry Go Round ikiwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
10-May-2025 in Tanzania