Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MV Kilimanjaro yapata ajali Zanzibar, sita wafariki

 Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar MakameWATU sita wamefariki dunia na wengine watatu kuokolewa katika boti ya abiria ya MV Kilimanjaro iliyokumbwa na dhoruba ya mawimbi makali kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa baharini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajali ya basi Mkuranga

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Sita wafariki dunia ajali ya basi Mkuranga

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.

 

11 years ago

CloudsFM

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NANYALA MBEYA

Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya Tunduma/Mbeya ambapo roli lenye namba T 369 AWM aina ya SCANIA likendeshwa na Dereva asiyefahamika likiwa katika...

 

10 years ago

StarTV

Watu sita wafariki, wengine kujeruhiwa katika ajali Tunduma.

Na Amina Said,

Mbeya.

 

Watu sita wamefariki papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea leo alasiri eneo la mlima Chengula Tunduma mkoani Mbeya.

 

Ajali hiyo imehusisha  magari matatu, basi ndogo aina ya Toyota costa T 203 ARZ iliyogongana uso kwa uso  na  basi la kampuni ya Shalom express  wakati costa hiyo ikijaribu kulipita lori aina ya TATA mali ya Usangu Logistic lenye namba T 789 AZL.

 

Majeruhi wamepelekwa kwenye hospitali ya serikali iliyopo Vwawa...

 

10 years ago

GPL

WATU SITA WAJERUHIWA KATIKA AJALI KILIMANJARO

Muonekano wa ajali baada ya basi la Harambee kugongana na lori eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro mchana wa leo. Muonekano wa mbele wa lori baada ya ajali.…

 

11 years ago

Michuzi

BODI YA KUCHUNGUZA AJALI YA MV KILIMANJARO 2 YAKABIDHI RIPOTI KWA WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO ZANZIBAR

Na Nafisa M. Ali  Bodi ya kuchunguza ajali ya Meli ya MV. Kilimanjaro 2 leo imekabidhi rasmi Ripoti ya ajali hiyo baada ya kumaliza kazi hiyo kwa Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Rashid Seif Suleiman Ofisini kwake Kisauni nje kidogo ya mji wa Zanzibar.  Akikabidhi Ripoti hiyo Mwenyekiti wa Bodi hiyo Khamis Ramadhan Abdallah amesema kazi hiyo waliyopewa wameweza kuimaliza kwa mujibu wa siku walizopewa na walikuwa huru bila ya kuingiliwa na mkono wa Serikali wala Taasisi yoyote.  Aidha...

 

11 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajalini Mbeya

Watu Sita wamekufa na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Ndejela Express, lililokuwa linatoka Sumbawanga kwenda Mbeya, kupinduka.

 

11 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajalini, 12 wajeruhiwa Dar

Watu sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Lugalo, jijini Dar es Salaam jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani