Sita wafariki ajali ya basi Mkuranga
Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Sita wafariki dunia ajali ya basi Mkuranga
11 years ago
CloudsFM09 Jun
WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NANYALA MBEYA
Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya Tunduma/Mbeya ambapo roli lenye namba T 369 AWM aina ya SCANIA likendeshwa na Dereva asiyefahamika likiwa katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GxEmomufk0E/Xpa1__UdKbI/AAAAAAAEGuc/NI5mxhcw8TEKXBekpL3bOAFy1rfSCtgCgCLcBGAsYHQ/s72-c/pic%252Bajali.jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: WATU 18 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 15 WAJERUHIWA KWA AJALI WILAYANI MKURANGA.
Watu 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahewa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Kamanda Lyanga amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo Jumatano Aprili 15, 2020 na kwamba imehusisha lori na gari la abiria aina ya Toyota Coaster.“Ni Kweli tuko kwenye eneo la tukio, ajali imetokea na imesababisha vifo vya watu 18 na majeruhi 15,” amebainisha...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Watano wafariki ajali ya basi Handeni
11 years ago
Habarileo06 Jan
MV Kilimanjaro yapata ajali Zanzibar, sita wafariki
WATU sita wamefariki dunia na wengine watatu kuokolewa katika boti ya abiria ya MV Kilimanjaro iliyokumbwa na dhoruba ya mawimbi makali kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa baharini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgpbgkwXgPDJ0xDhwyfx29mxDwhjEg4uiCzYo0eXr0w9xaBFAXYQydZEeD5QpWpU8HzKxtUlRigc9Sxv9BvQ9z*/BREAKINGNEWS.gif)
WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qk*MmDQsK7pf2AeHwPjAF2REkF6HY-kBkfN5MY85f9E9yquPDoKmdoBU244VY8KHRHBzjM0MrCpATv6ccR*srBRp34qmr-nR/1428826223737.jpg?width=650)
WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA
10 years ago
StarTV22 Dec
Watu sita wafariki, wengine kujeruhiwa katika ajali Tunduma.
Na Amina Said,
Mbeya.
Watu sita wamefariki papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea leo alasiri eneo la mlima Chengula Tunduma mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imehusisha magari matatu, basi ndogo aina ya Toyota costa T 203 ARZ iliyogongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Shalom express wakati costa hiyo ikijaribu kulipita lori aina ya TATA mali ya Usangu Logistic lenye namba T 789 AZL.
Majeruhi wamepelekwa kwenye hospitali ya serikali iliyopo Vwawa...