Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watano wafariki ajali ya basi Handeni

Watu watano wamekufa hapo hapo na wengine 39 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Matro walilokuwa wakisafiria kutoka Rombo kwenda Dar Es Salaam kuacha njia na kupinduka  katika Kijiji cha Manga kata ya Mazingara wilayani Handeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATU 10 WAFARIKI KWA AJALI HANDENI

Muonekano wa eneo la tukio baada ya ajali hiyo. Wananchi wakiwa eneo la tukio. Watu 10 wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la Mkata kijiji cha Mbweni wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya saa 5 asubuhi ya leo. Akizungumza na East Africa Radio Kamanda wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga amesema kuwa ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ya abiria na gari dogo katika barabara ya Dar...

 

9 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajali ya basi Mkuranga

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa

Abiria 11 waliokuwa wakisafiri na basi la Kampuni ya Burudani kutoka Korogwe kuelekea Dar es Salaam akiwamo dereva wamefariki, huku wengine 55 wakijeruhiwa baada ya basi hilo aina ya Nissan kuacha njia na kupinduka kwenye kona wakati likijaribu kupishana na lori aina ya Fuso.

 

9 years ago

Mwananchi

Sita wafariki dunia ajali ya basi Mkuranga

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ibra Line walilokua wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi lingine dogo katika barabara kuu ya Dar salaam - Kilwa.

 

10 years ago

GPL

WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA

WATU kadhaa wanasemekana wamekufa leo asubuhi baada ya basi la Nganga kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo magari yote mawili yameteketea kwa moto.   Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu magari… ...

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WATANO MKOANI DODOMA WAFARIKI DUNIA PAPOHAPO KATIKA AJALI YA GARI

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC DEOGRATIUS wa Polisi Wilaya ya Kongwa likitokea Dodoma mjini likielekea Wilayani Kongwa liligongana uso kwa uso...

 

11 years ago

CloudsFM

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NANYALA MBEYA

Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya Tunduma/Mbeya ambapo roli lenye namba T 369 AWM aina ya SCANIA likendeshwa na Dereva asiyefahamika likiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani