ZANZIBAR YAPATA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMA JOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-tppzvf3AOlU/XqaweqGE0mI/AAAAAAALoUE/APkPn6I-BGANWaKs1iiV7t_NAehaMypxACLcBGAsYHQ/s72-c/221.jpg)
Mfanyabiashara Said Nasser Nassor {Bopar} Kushotoakimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mashine za Kupimia Joto kukamilisha ahadi aliyotoa Wiki iliyopita ya mchango wake wa kusaidia Vifaa kwenye mapambano dhidi ya Virusi vya Corona.
Balozi Seif akiangalia moja ya Mashine hiyo ya kupimia Jotola mwili inayosaidia kutoa viashiria vya kutambua matatizo ya maradhi kwenye Mwili wa Mwanaadamu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddiakitoa shukrani mara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili15 May
Virusi vya Corona: Zanzibar yapokea mashine yenye uwezo wa kupima watu 288 kwa siku
11 years ago
MichuziZANZIBAR YAPATA MSAADA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA YA SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AprmhSM1Xo0/Xr061SfzDvI/AAAAAAALqMw/PakIfwV4YkUDYlPuXbVDIJ3RFbQnMKcggCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine inayoweza kupima magonjwa ya moyo
![](https://1.bp.blogspot.com/-AprmhSM1Xo0/Xr061SfzDvI/AAAAAAALqMw/PakIfwV4YkUDYlPuXbVDIJ3RFbQnMKcggCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-mKp8B6IcMis/Xr062PEo2oI/AAAAAAALqM0/nF_Y_dejE4Ao0BjTtWq9UTF6CnKTfPnBgCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
Na COSTECHTAKWIMU za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa kila mwaka wastani wa watu milioni 58 hupoteza maisha duniani kote. Vifo vya watu milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote kwa mwaka husababishwa na magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo, kisukari, figo na shinikizo la damu.
Magonjwa ya...
10 years ago
Vijimambo26 Feb
MAMA SALMA KUKABIDHI MASHINE YA KUPIMA KANSA YA MATITI HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/img_08581.jpg)
Mwenyekiti wa WAMA Mheshimiwa Mama Salma Kikwete atakabidhi msaada wa mashine ya kupimia Kansa ya Matiti katika Hospitali kuu ya Jeshi Lugalo tarehe Ijumaa Februari 27, 2015 saa tatu na nusu (3:30) Asubuhi.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Makao Makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam iliyotolewa leo Alhamisi Feb 26, 2015, imesema makabidhiano hayo yatafanyika kwenye Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uow3g9c8x0o/VCkLgiXHn6I/AAAAAAAGmac/qzDYZxLhZvM/s72-c/Salma-Kikwete.jpg)
MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000
![](http://3.bp.blogspot.com/-uow3g9c8x0o/VCkLgiXHn6I/AAAAAAAGmac/qzDYZxLhZvM/s1600/Salma-Kikwete.jpg)
Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...
5 years ago
BBCSwahili23 May
Virusi vya corona: Mashine ya kupima corona 'yakutwa na hitilafu Tanzania'
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...
9 years ago
MichuziMuhumbili yapatiwa msaada wa mashine ya kisasa ya Digital ya X-Ray
Mashine hiyo imegharimu Dola 200,000 za Marekani ambazo zimetolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambayo ina uwezo wa kusafirisha picha nje ya nchi ili kupata ushauri wa kitaalamu.
Akilelezea kuhusu maendeleo ya mashine ya MRI na CT-SCAN , Mkuu wa Idara ya Mionzi wa...