MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000

Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO
10 years ago
Dewji Blog28 Feb
Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...
10 years ago
Vijimambo26 Feb
MAMA SALMA KUKABIDHI MASHINE YA KUPIMA KANSA YA MATITI HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mwenyekiti wa WAMA Mheshimiwa Mama Salma Kikwete atakabidhi msaada wa mashine ya kupimia Kansa ya Matiti katika Hospitali kuu ya Jeshi Lugalo tarehe Ijumaa Februari 27, 2015 saa tatu na nusu (3:30) Asubuhi.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Makao Makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam iliyotolewa leo Alhamisi Feb 26, 2015, imesema makabidhiano hayo yatafanyika kwenye Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ...
11 years ago
Vijimambo
MAMA SALMA KIKWETE ATUNUKIWA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUPAMBANA NA SARATANI YA MATITI

Mama Salma Kikwete Jumamosi Tarehe 18. 2014 alitunukiwa tuzo ya juhudi zake anazozifanya za kupambana na Saratani ya Matiti. Tuzo hiyo ilitolewa na taasisi ya African Women's Cancer Awareness Assocition kwenye hafla ya Gala Dinner iliyofanyika kwenye hoteli ya Omni Shoreham Hotel iyopo Washington DC.

Balozi Liberata Mulamula Akikabidhiwa Tuzo hiyo kwa Niaba ya Mama Salma Kikwete na Rais Wa African Women's Cancer Association Ms. Ify Anne Nwabukwu, RN, BSN

11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI, MATITI NA TEZI HUKO NEW YORK.
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora





5 years ago
BBCSwahili15 May
Virusi vya Corona: Zanzibar yapokea mashine yenye uwezo wa kupima watu 288 kwa siku
10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Rais masikini zaidi apewa dola milioni 1
11 years ago
CloudsFM29 May
TALAKA YENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI
Mmiliki wa club ya timu ya AS Monaco inayocheza ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa Dmitry Rybolovlev ambaye pia anashika nafasi ya 148 katika list ya ma billionea wanaotajwa na Forbes Magazine.
Yeye pamoja na aliyekua mke wake Elena wamevunja rekodi ktk historia ya fidia za ndoa zilizowahi kuvunjika duniani.
Hiyo ni baada ya mahakama ya Geneva Switzerland hivi karibuni kumuamuru jamaa amlipe mtalaka wake zaidi ya dola bilioni 4.5
Ndoa hiyo ilidumu kwa miaka 23 na waliingia kwenye mchakato...