Virusi vya Corona: Zanzibar yapokea mashine yenye uwezo wa kupima watu 288 kwa siku
Tanzania imekuwa ikikosolewa kwa kutokutoa takwimu za corona kwa wakati.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili23 May
Virusi vya corona: Mashine ya kupima corona 'yakutwa na hitilafu Tanzania'
Wizara ya afya nchini Tanzania imebaini kuwa palikuwa na upungufu katika mfumo wa kimuundo na kiutendaji katika kukabiliana na covid-19.
5 years ago
BBCSwahili02 May
Virusi vya corona: Watu 24 wapatikana na maambukizi ya corona kwa siku moja Kenya
Kenya imerekodi idadi kubwa ya maambukizi ya corona kwa siku moja , kuwahi kushuhudiwa tangu kisa cha kwanza cha maambukizi hayo kilipotangazwa tarehe 12 Machi
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virusi vya Corona: Kwa nini ni muhimu kupima virusi vya corona?
Kila nchi imeonekana ikikabiliana na mlipuko wa virusi vya corona kwa namna yake ,lakini yawezekana kuwa suala la kila mtu kupima virusi vya corona ni muhimu na kila nchi kuzingatia hilo.
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Nchi gani zinafanya vizuri katika kupima watu?
Nchi za Afrika zinakabiliwa na changamoto katika hatua ya kupima watu kwa halaiki kubaini ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: India yakataa vifaa vya kupima virusi hivyo kutoka China
India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''vina dosari''.
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Kwa nini mashine za kusaidia kupumua ni muhimu kwa wagonjwa wa virusi vya corona?
Maisha ya baadhi ya wagonjwa wa Covid-19 yanategemea vipumuzi - fahamu namna zinavyofanyakazi.
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Virusi vya corona: Watu 'wasiojua wana virusi’ wanavyochangia kuongezeka kwa maambukizi
Wanasayansi wamepata ushahidi wa kushangaza kuhusu jinsi virusi vya corona vinavyosambazwa
5 years ago
BBCSwahili07 May
Virusi vya corona: Vipimo vinavyotumika kupima corona Tanzania havina hitilafu
Bodi ya Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) inakataa matamshi ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kwamba vifaa vya kupimia viruisi vya corona haviko sahihi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania