Muhumbili yapatiwa msaada wa mashine ya kisasa ya Digital ya X-Ray
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepata mashine mpya na ya kisasa ya Digital X-ray ambayo wataalamu wake hawatalazimika kutumia filamu kusafisha picha kama ilivyozoeleka katika mashine za kawaida.
Mashine hiyo imegharimu Dola 200,000 za Marekani ambazo zimetolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambayo ina uwezo wa kusafirisha picha nje ya nchi ili kupata ushauri wa kitaalamu.
Akilelezea kuhusu maendeleo ya mashine ya MRI na CT-SCAN , Mkuu wa Idara ya Mionzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Shule yapatiwa msaada wa mil 14/-
MFANYABIASHARA na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Arif Abri ametoa msaada wa sh milioni 14 kwa shule ya Sekondari ya Nyerere iliyopo wilaya ya Iringa kwa...
9 years ago
MichuziMuhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto
Vifaa hivyo vina thamani ya Dola za Kimarekani Laki moja sawa na zaidi Sh milioni 2 vimetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni Ventilator, medical, adult –child ,w/access pamoja na Warmer system , newborn,...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba
Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]
The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MichuziSHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA
10 years ago
Habarileo09 Sep
Mashine za kisasa za ebola zafungwa
KATIKA jitihada za Serikali kuimarisha mifumo ya kukinga taifa na maambukizi ya virusi hatari vya homa ya ebola, mashine mpya sita za kisasa zaidi za kukagua wageni wote wanaofika nchini kupitia usafiri wa anga, zimewasili nchini na tayari zimefungwa katika viwanja vikubwa vya ndege.
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Benki ya Stanbic yazindua mashine za kisasa za kutolea fedha
Benki ya Stanbic Tanzania katika kuboresha huduma zake zaidi kwa wateja wake imezindua mashine za kisasa za kutolea fedha (ATM) zenye kioo cha kugusa (Touch Screen) wakati wa kufanya miamala ikiwa ni benki ya kwanza kuleta mashine hizi za kisasa hapa nchini Tanzania.
Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed alisema...
10 years ago
MichuziMSAMA AKAMATA CD FEKI ZA MIL 200 PAMOJA NA MASHINE YA KISASA YA KURUDUFU CD
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akionyesha mashine ya kisasa aina ya LG iliyokamatwa kutoka kwa watuhumiwa wa kurudufu kazi za wasanii (CD FEKI) katika maeneo ya Kariakoo na Kimarta Bonyokwa jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akionesha mashine ya kisasa aina ya LG waliyokamatwa nayo watuhumiwa wa kurudufu CD feki za kazi za wasanii katika maeneo ya Kariakoo na Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa...
5 years ago
MichuziZANZIBAR YAPATA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMA JOTO