MSAMA AKAMATA CD FEKI ZA MIL 200 PAMOJA NA MASHINE YA KISASA YA KURUDUFU CD
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akionyesha mashine ya kisasa aina ya LG iliyokamatwa kutoka kwa watuhumiwa wa kurudufu kazi za wasanii (CD FEKI) katika maeneo ya Kariakoo na Kimarta Bonyokwa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akionesha mashine ya kisasa aina ya LG waliyokamatwa nayo watuhumiwa wa kurudufu CD feki za kazi za wasanii katika maeneo ya Kariakoo na Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Msama akamata CD feki Dar za Mil 200/-
OPERESHENI ya kukamata watuhumiwa wa wizi wa kazi za wasanii, imeshika kasi baada ya Kampuni ya Msama Auction Mart kukamata mashine za kisasa za kurudufu kazi za wasanii na CD...
9 years ago
Bongo521 Oct
Selena Gomez aongoza chart za Billboard 200, The Game akamata nafasi ya pili
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Y8lOMs5YYoU/XrAEyzo-2KI/AAAAAAALpCs/U9BrgekezygT17s1Xi7S0mFjScUeReG4ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200504-WA0132-768x511.jpg)
KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3
![](https://1.bp.blogspot.com/-Y8lOMs5YYoU/XrAEyzo-2KI/AAAAAAALpCs/U9BrgekezygT17s1Xi7S0mFjScUeReG4ACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200504-WA0132-768x511.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG-20200504-WA0125-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG-20200504-WA0126-1024x682.jpg)
………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...
10 years ago
Michuzi25 Aug
KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION NA JESHI LA POLISI WAKATAMA KAZI FEKI ZA WASANII
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/155.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Msama amwaga misaada ya mil. 5/- kwa yatima
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Muziki wa Injili la Krismasi litakalozinduliwa kesho Uwanja wa Taifa chini ya uratibu wa kampuni ya Msama Promotions, jana ilitoa msaada wa vitu mbalimbali...
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Alex Msama apata ajali, aporwa mil 20/-
MFANYABIASHARA Alex Msama amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari. Msama ambaye ni maarufu kwa kuandaa Tamasha la Pasaka kila mwaka, amepata ajali hiyo jana majira ya saa...
10 years ago
Habarileo09 Sep
Mashine za kisasa za ebola zafungwa
KATIKA jitihada za Serikali kuimarisha mifumo ya kukinga taifa na maambukizi ya virusi hatari vya homa ya ebola, mashine mpya sita za kisasa zaidi za kukagua wageni wote wanaofika nchini kupitia usafiri wa anga, zimewasili nchini na tayari zimefungwa katika viwanja vikubwa vya ndege.
10 years ago
Habarileo05 Jan
Akamatwa na mil.400/-feki
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Benki ya Stanbic yazindua mashine za kisasa za kutolea fedha
Benki ya Stanbic Tanzania katika kuboresha huduma zake zaidi kwa wateja wake imezindua mashine za kisasa za kutolea fedha (ATM) zenye kioo cha kugusa (Touch Screen) wakati wa kufanya miamala ikiwa ni benki ya kwanza kuleta mashine hizi za kisasa hapa nchini Tanzania.
Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed alisema...