Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama akamata CD feki Dar za Mil 200/-

OPERESHENI ya kukamata watuhumiwa wa wizi wa kazi za wasanii, imeshika kasi baada ya Kampuni ya Msama Auction Mart kukamata mashine za kisasa za kurudufu kazi za wasanii na CD...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSAMA AKAMATA CD FEKI ZA MIL 200 PAMOJA NA MASHINE YA KISASA YA KURUDUFU CD


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akionyesha mashine ya kisasa aina ya LG iliyokamatwa kutoka kwa watuhumiwa wa kurudufu kazi za wasanii (CD FEKI) katika maeneo ya Kariakoo na Kimarta Bonyokwa jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akionesha mashine ya kisasa aina ya LG waliyokamatwa nayo watuhumiwa wa kurudufu CD feki za kazi za wasanii katika maeneo ya Kariakoo na Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Selena Gomez aongoza chart za Billboard 200, The Game akamata nafasi ya pili

Nyota wa muziki wa Pop, Selena Gomez amemzidi kete rapper The Game kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chart za wiki za album, Billboard 200. Revival, albamu ya pili ya mrembo huyo mwenye miaka 23, iliuza kopi 117,000 katika wiki iliyomazilika. Album ya ya The Game, Documentary 2 imekamata nafasi ya pili kwa kuuza kopi […]

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION NA JESHI LA POLISI WAKATAMA KAZI FEKI ZA WASANII

1Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza kukatatwa kwa watuhumiwa 17 wanaorudufu kazi za wasanii kinyume na utaratibu yaani kazi feki katika jiji la Dar es salaam na baadhi ya mikoa ambapo kazi feki za wasanii zilizokamatwa thamani yake ni shilingi milioni 12, Kulia ni ASP Denis Moyo mkuu wa upelelezi wa kituo hicho ambaye amesema amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa 17 ambao wanasubiri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alex Msama apata ajali, aporwa mil 20/-

MFANYABIASHARA Alex Msama amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari. Msama ambaye ni maarufu kwa kuandaa Tamasha la Pasaka kila mwaka, amepata ajali hiyo jana majira ya saa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama amwaga misaada ya mil. 5/- kwa yatima

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Muziki wa Injili la Krismasi litakalozinduliwa kesho Uwanja wa Taifa chini ya uratibu wa kampuni ya Msama Promotions, jana ilitoa msaada wa vitu mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

Akamatwa na mil.400/-feki

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakamatwa na nyara za mil. 200/-

WATU sita wakazi wa wilayani ya Manyoni mkoani Singida, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali zenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 200....

 

10 years ago

GPL

MAZISHI MKE WA BILIONEA MIL. 200

Hii ndiyo ajali iliyoondoa uhai wa Carista Charles Makoi (52). Stori: Joseph Ngilisho, ARUSHA/UWAZI
MAZISHI ya Carista Charles Makoi, 52, (pichani), ambaye alikuwa mke wa mfanyabiashara bilionea jijini hapa, Charles Makoi yamefanyika huku shilingi milioni 200 zikisemekana kuteketea kwa bajeti. Mfanyabiashara maarufu jijini hapa, Patrick Ngiloi ambaye ni mmiliki wa vituo vya mafuta vya Kampuni ya Panone ndiye aliyekuwa...

 

10 years ago

GPL

IDRIS WA BBA ABAKIZA MIL. 200

Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
Mambo ya fedha! Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha Sh. milioni 200 baada ya kudaiwa kununua mjengo wa ghorofa wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 300.
Kwa mujibu wa Idris, nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani