IDRIS WA BBA ABAKIZA MIL. 200
![](http://api.ning.com:80/files/FkLMylrJqnVV3IV4VI9zbH94liUPRMT*2FpErgA0QAMn8cEA*wdz2MT8MEJ46CwJgzvwrOOtGDJ8Q04XPdE7Hf-3ic5KyPSX/2001.jpg)
Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda Mambo ya fedha! Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha Sh. milioni 200 baada ya kudaiwa kununua mjengo wa ghorofa wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 300. Kwa mujibu wa Idris, nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEL87T64reURt-4nDQrPh8c*xyNbQHWT3oifB4Q2RxIKejNMM0HePSthaGh56lXxHb3piM*tBCBFT30zv0brVrJb/Idris.jpg?width=650)
IDRIS WA BBA AONYWA
10 years ago
Vijimambo07 Dec
IDRIS ASHINDA BBA
![](http://api.ning.com/files/1pYGM2xUDQlMP4IhwN21S9apNq7B4pRvQJtsScdchDNApvopb2k3rwFaufuPDoy5EdOmNgUt-x*HH*BTvUS8V*I-g45RqMdX/9266_10204363760083035_7598613077307764719_n.jpg?width=650)
Mshiriki kutoka Tanzania aliyewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan.
Aliyekuwa mshiriki wa Tanzania kwenye mjengo wa Big Brother Idris Sultan ameibuka mshindi wa shindano hilo na kuileteaheshimaTanzania, Idris pia amejishindia kitita cha dola 300,000 (Sawa na 510,186,000).
Idris aliweza kutabiriwa na wadau wengi kuwa angeweza kuibuka mshindi kutokana na wadau wengi kuvutiwa na staili ya maisha aliyokuwa akiishi katika nyumba hilo la big brother lililoko huko Afrika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQlMP4IhwN21S9apNq7B4pRvQJtsScdchDNApvopb2k3rwFaufuPDoy5EdOmNgUt-x*HH*BTvUS8V*I-g45RqMdX/9266_10204363760083035_7598613077307764719_n.jpg?width=650)
IDRIS KUSHINDA BBA LEO!
10 years ago
Michuzi05 Oct
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ68Nkfl34Y1v0gHCJgDVsgawvBY6iM1XeGMzrT36qYuB6Tx6K5IRc3ZhJrGNG8bqVDPpWQ97qjmAyUNHaj25OmHO/5001.jpg?width=650)
WEMA,IDRIS WA BBA WAZUA GUMZO
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Idris awakwepa washiriki BBA Dar
NA THERESIA GASPER
MSHIRIKI wa Big Brother Afrika ‘BBA’ Hot Shot 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Munana, amemwagia sifa aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu kuwa ni mwenye mvuto wa kipekee.
Lakini licha ya kutoa sifa hizo, mshiriki mwenzao ambaye ndiye mwenyeji wao, Idris Sultan, hakutokea katika sherehe hiyo jambo lililozua minong’ono kwa watu baada ya tetesi kwamba ana ugomvi na Wema Sepetu.
Wema alimwagiwa sifa hizo alipokuwa katika sherehe za Instagram Party katika viwanja vya...
10 years ago
TheCitizen05 Dec
BBA: Can Idris bring the money home?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yLBGfqJNowiFYLIwgFDCMi51RuO8mvC1dWY0oLZzFu9uQUWg2RGUvxwfbS*VNDggkQdqTEpp73ByTQIUZqTY*U8sgKmBH9Xi/03e47ea0a69a11e3a586123cee9e9f3b_8.jpg)
IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014
10 years ago
GPLMSHINDI WA BBA IDRIS SULTAN ATINGA GLOBAL TV ONLINE