Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Stanbic yazindua mashine za kisasa za kutolea fedha

stan atms

Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed akionyesha jinsi ATM za kisasa zinavyofanya kazi wakati wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Benki ya Stanbic Tanzania katika kuboresha huduma zake zaidi kwa wateja wake imezindua  mashine za kisasa za kutolea fedha (ATM) zenye kioo cha kugusa (Touch Screen) wakati wa kufanya miamala ikiwa ni benki ya kwanza kuleta mashine hizi za kisasa hapa nchini  Tanzania.

Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed alisema...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BENKI YA STANBIC YAZINDUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Munasa akitembezwa katika ofisi za benki ya Stanbic baada ya kuzindua rasmi kutokana na kukamilika kwa ukarabati.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Munasa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

BMTL yaja na mashine za kutuma fedha benki

WAKATI wahalifu wakiwa wanabuni mbinu mpya kila siku za kuiba katika benki tofauti nchini, Kampuni Business Machines Tanzania Limited (BMTL), imekuja na mashine mpya za kuwadhibiti wahalifu ikiwemo ya kutuma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4

NMB-1

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .

NMB -2

Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Stanbic Tanzania yazindua tawi mkoani Mbeya

3

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw.Nyerembe Munasa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa tawi la Benki ya Stanbic tawi la Mbeya uliofanyika mwishoni mwa wiki kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Hatib Senkoro na kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Stanbic Tanzania Bw. Ken Cockerill.

PICTURE 7

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw.Nyerembe Munasa (katikati) akisoma maandishi ya bango lililopo kwenye benki ya Stanbic tawi la Mbeya muda mfupi baada ya kulizindua mwishoni mwa wiki  kulia kwake ni...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Stanbic yateua Mkurugenzi Mkuu mpya

Benki ya Stanbic Tanzania imemteua Kevin Wingfield kuwa Mkurugenzi Mkuu kuanzia tarehe 01 Aprili 2020.

Wingfield anachukua nafasi ya Ken Cockerill ambae ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Standard Bank nchini Lesotho.

Safari ya Wingfield ilianza mwaka 1998, katika taasisi ya Standard Bank Group, mpaka sasa ana uzoefu wa zaidi miaka ishirini. Wingfield ameshika nyadhifa mbalimbali ndani ya taasisi hiyo ikiwemo; Mkurugenzi wa maendeleo ya kimkakati kwa wateja, huduma za kibenki za watu binafsi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Fedha za Stanbic ziligharimia kampeni Ukawa?

UCHUNGUZI unaoendelea wa serikali kuhusu ufisadi wa takribani shilingi bilioni 13 katika mkopo ul

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ: BENKI YA STANBIC TANZANIA MATATANI TENA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam leo kuhusiana na tuhuma zilizoelekezwa benki ya Stanbic Tanzania kuwa imetumika katika kufanya udanganyifu wa riba ya mkopo dola Milioni 600 iliyopewa serikali ya Tanzania na Uingereza kupitia Kampuni ya Egma ya Tanzania.
Amesema kuwa Benki kuu ilifanya ukaguzi wa benki hiyo na mambo mengine walibaini malipo yasiyokuwa ya kawaida kuhusiana na kampuni ya kitanzania inayoitwa Egma,malipo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika ayataka majina waliochukua fedha Stanbic

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) ametaka watu wote waliopokea fedha zaidi ya Sh73 bilioni kutoka kwenye akaunti mbili za PAP katika Benki ya Stanbic iliyopokea fedha za escrow watajwe majina na kufilisiwa mali zao.

 

10 years ago

Habarileo

Mashine za kisasa za ebola zafungwa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Cosmas MwaifwaniKATIKA jitihada za Serikali kuimarisha mifumo ya kukinga taifa na maambukizi ya virusi hatari vya homa ya ebola, mashine mpya sita za kisasa zaidi za kukagua wageni wote wanaofika nchini kupitia usafiri wa anga, zimewasili nchini na tayari zimefungwa katika viwanja vikubwa vya ndege.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani