Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BMTL yaja na mashine za kutuma fedha benki

WAKATI wahalifu wakiwa wanabuni mbinu mpya kila siku za kuiba katika benki tofauti nchini, Kampuni Business Machines Tanzania Limited (BMTL), imekuja na mashine mpya za kuwadhibiti wahalifu ikiwemo ya kutuma...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya BOA waletea wateja wake huduma mpya ya kutuma fedha Kimataifa ya ‘WARI’

boa

Mkurugenzi wa ICT , Bw. Willington Munya  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma hiyo mpya ya BOA. anayefuatia ni  Meneja wa E.Banking, Bi. Editha Jumbe na wa mwisho ni Afisa masoko Danieli Sarungi. ( Picha na Niccomediatz).

Benk ya BOA Tanzania imeleta huduma mpya kwa wateja wake ijulikanayo kama WARI-huduma ya kutuma fedha kimataifa ambapo kwa sasa huduma hiyo imeingia nchini na mteja anaweza kutuma na kupokea  fedha ndani na nje bila ya kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya Stanbic yazindua mashine za kisasa za kutolea fedha

stan atms

Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed akionyesha jinsi ATM za kisasa zinavyofanya kazi wakati wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Benki ya Stanbic Tanzania katika kuboresha huduma zake zaidi kwa wateja wake imezindua  mashine za kisasa za kutolea fedha (ATM) zenye kioo cha kugusa (Touch Screen) wakati wa kufanya miamala ikiwa ni benki ya kwanza kuleta mashine hizi za kisasa hapa nchini  Tanzania.

Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Snapchat sasa kutumika kutuma fedha

Programu ya ujumbe ya Snapchat sasa itawaruhusu watumiaji wake kutuma pesa kwa marafiki zao.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TPC yaboresha huduma ya kutuma fedha kwa mitandao

NA WILLIAM SHECHAMBO
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC), limesema liko mbioni kuboresha zaidi huduma zake ikiwemo ya kutuma fedha kwa mitandao ya simu, hatua ambayo itawezesha wananchi kutumia huduma za shirika hilo zitakazokuwa na ubora na unafuu kwa manufaa ya umma.
Pia limesema huduma za posta ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote duniani licha ya uwepo wa tekinolojia mbalimbali hususan barua pepe na simu za viganjani ambapo hata nchi zilizoendelea bado zinaendelea kutumia mawasiliano ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Equity benki yaja na ‘Eazzy 24/7’

KATIKA kupanua wigo wa kibiashara, Benki ya Equity Tanzania imezindua rasmi huduma ya benki kwa kutumia simu za mkononi ijulikanayo kama ‘Eazzy 24/7’. Eazzy 24/7 inayopatikana kupitia mitandao yote ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

WhatsApp Pay: Facebook yazindua huduma ya kutuma fedha bila malipo

WhatsApp imezindua huduma ya malipo ya kidijitali nchini Brazil katika juhudi za kutumia umaarufu wake kuingia kwenye masoko yanayoibuka katika ulimwengu wa biashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Covenant yaja na huduma benki mtaani 

BENKI ya Covenant inayomilikiwa na wanawake nchini imezindua huduma mpya  ya benki mtaani yenye lengo la kuwawezesha wateja kuweka na kutoa fedha katika akaunti zao kupitia  simu ya mkononi. Uzinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa

IMG_5163

 

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.

Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...

 

11 years ago

Habarileo

Benki ya KCB yakabidhi mashine kupimia wajawazito

KITUO cha Afya cha Makongoro, jijini hapa kimepokea msaada wa mashine ya Ultra Sound na Suction zenye thamani ya Sh milioni 15 kwa ajili ya kupimia wajawazito na wagonjwa wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani