Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Covenant yaja na huduma benki mtaani 

BENKI ya Covenant inayomilikiwa na wanawake nchini imezindua huduma mpya  ya benki mtaani yenye lengo la kuwawezesha wateja kuweka na kutoa fedha katika akaunti zao kupitia  simu ya mkononi. Uzinduzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BENKI YA COVENANT YAZINDUA HUDUMA YA BENKI MTAANI KWAKO

Mwenyekiti wa Bodi wa benki ya Covenant Balozi.Salome Sijaona(katikati)akibonyeza kitufe cha kopyuta kuashiaria uzinduzi rasmi wa huduma ya” benki mtaani kwako” ambayo inawawezesha wananchi na wateja wa benki hiyo kutumia simu zao za kiganjani kupata huduma za kibenki ikiwemo kuweka na kutoa fedha katika akaunti zao.Anaeshuhudia kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Bi.Sabetha Mwambenja pamoja na...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA COVENANT YATOA MAABASI NA BAJAJI KWA WAJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa  Benki ya  Covenant  Balozi Salome Sijaona  akimkabidhi  mratibu wa uhamasishaji wa vikundi vya Wilaya ya Temeke Bi.Tukae Kondo ufunguo wa pikipiki baada ya kuwapatia mikopo wajasiliamali mbalimbali.Benki hiyo kwa kushirikiana na umoja wa wafanyakazi wasio katika sekta rasmi imewawezesha wajasiriamali wadogo nchini kwa kuwapatia mikopo na mitaji. Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya benki hiyo jijini...

 

11 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAAHIDIWA MKOPO NA COVENANT BENKI

   Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  Covenant  Bi.Sabetha Mwambenja  akitoa mfano wa  beiskali   wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji Ng’ombe  wa kisasa cha Kata ya Somangila Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi huo.Benki hiyo inategemea kutoa  mkopo kwa kikundi hicho ili waweze kuendeleza ufugaji huo. Kulia ni Mratibu wa Wafugaji wa Ng’ombe  wa Kata ya hiyo  Getruda Mpelembe  na katikati ni  mtunza Hazina wa Kikundi hicho Jumanne Hussen na Kushoto ni Mwenyekiti ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa wahaidiwa mkopo na Covenant Benki

001.MEDIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant  Bi,Sabetha Mwambenja  akisisitiza jambo  wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa cha  Kata ya Somangila kiilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana  na mradi wa ufugaji wa kisasa wa  ng’ombe wa maziwa   unaovihusisha vikundi vitatu  vya kata  hiyo ambapo wafugaji hao watapata mkopo wa kuendeleza mradi huo kutoka Covenant  benki.

002.MEDIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant Bi. Sabetha...

 

11 years ago

GPL

KIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAHAIDIWA MKOPO NA BENKI YA COVENANT‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant  Bi. Sabetha Mwambenja akisisitiza jambo  wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji wa ng’ombe wa kisasa cha Kata ya Somangila kiilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana  na mradi wa ufugaji wa kisasa wa ng’ombe wa maziwa unaovihusisha vikundi vitatu vya kata hiyo ambapo wafugaji hao watapata mkopo wa kuendeleza mradi huo kutoka Covenant...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Equity benki yaja na ‘Eazzy 24/7’

KATIKA kupanua wigo wa kibiashara, Benki ya Equity Tanzania imezindua rasmi huduma ya benki kwa kutumia simu za mkononi ijulikanayo kama ‘Eazzy 24/7’. Eazzy 24/7 inayopatikana kupitia mitandao yote ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

BMTL yaja na mashine za kutuma fedha benki

WAKATI wahalifu wakiwa wanabuni mbinu mpya kila siku za kuiba katika benki tofauti nchini, Kampuni Business Machines Tanzania Limited (BMTL), imekuja na mashine mpya za kuwadhibiti wahalifu ikiwemo ya kutuma...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAJA NA HUDUMA YA ZOGO‏

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya'Zogo' ambayo itawawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom  kupiga simu ndani na nje ya mtandao na kujipatia vifurushi kwa gharama nafuu.Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,akifafanua jambo wakati akitangaza huduma mpya ya 'Zogo' inayoyawezesha wateja wa mtandao wa...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya Tigo Rusha yaja kivingine

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Tigo Tanzania, David Umoh akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kwa njia ya Mtandao wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo Rusha Mapema leo Jijini Dar ES Salaam. Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini, Tigo Tanzania leo imezindua huduma mpya iliyoboreshwa inayomuwezesha mteja wa Tigo kununua muda wa maongezi pamoja na vifurushi kutoka katika maduka ya Tigo (Tigo shops) na katika maduka ya rejareja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani