Huduma ya Tigo Rusha yaja kivingine

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Tigo Tanzania, David Umoh akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kwa njia ya Mtandao wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo Rusha Mapema leo Jijini Dar ES Salaam. Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini, Tigo Tanzania leo imezindua huduma mpya iliyoboreshwa inayomuwezesha mteja wa Tigo kununua muda wa maongezi pamoja na vifurushi kutoka katika maduka ya Tigo (Tigo shops) na katika maduka ya rejareja...
Michuzi