BENKI YA COVENANT YATOA MAABASI NA BAJAJI KWA WAJASIRIAMALI
Mwenyekiti wa Benki ya Covenant Balozi Salome Sijaona akimkabidhi mratibu wa uhamasishaji wa vikundi vya Wilaya ya Temeke Bi.Tukae Kondo ufunguo wa pikipiki baada ya kuwapatia mikopo wajasiliamali mbalimbali.Benki hiyo kwa kushirikiana na umoja wa wafanyakazi wasio katika sekta rasmi imewawezesha wajasiriamali wadogo nchini kwa kuwapatia mikopo na mitaji. Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya benki hiyo jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBENKI YA COVENANT YAZINDUA HUDUMA YA BENKI MTAANI KWAKO
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Covenant yaja na huduma benki mtaaniÂ
BENKI ya Covenant inayomilikiwa na wanawake nchini imezindua huduma mpya ya benki mtaani yenye lengo la kuwawezesha wateja kuweka na kutoa fedha katika akaunti zao kupitia simu ya mkononi. Uzinduzi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s72-c/unnamed+(28).jpg)
KIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAAHIDIWA MKOPO NA COVENANT BENKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s1600/unnamed+(28).jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa wahaidiwa mkopo na Covenant Benki
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant Bi,Sabetha Mwambenja akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa cha Kata ya Somangila kiilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi wa ufugaji wa kisasa wa ng’ombe wa maziwa unaovihusisha vikundi vitatu vya kata hiyo ambapo wafugaji hao watapata mkopo wa kuendeleza mradi huo kutoka Covenant benki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant Bi. Sabetha...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Dar yatoa milioni 7/- kwa wajasiriamali
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Mipango Miji imetoa Sh milioni saba, kama mikopo kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali.
11 years ago
GPLKIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAHAIDIWA MKOPO NA BENKI YA COVENANT
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XW3JW48yx3A/VYrgFZFbkSI/AAAAAAAHjlc/sEKEc1u86BA/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Covenant Bank yaokoa la Jahazi CHANETA, Yatoa tikezi 20 za Ndege na Milioni 40 kufanikisha Safari ya Botswana
![](http://1.bp.blogspot.com/-XW3JW48yx3A/VYrgFZFbkSI/AAAAAAAHjlc/sEKEc1u86BA/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboCBE YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WAJASIRIAMALI WA JIJINI DAR-ES-SALAAM
11 years ago
MichuziCRDB YATOA SOMO KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 1000 KUHUSU KUWEKA AKIBA
Akizungumzia Tamasha hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, Naima Malima alisema kuwa lengo la semina hiyo ni kuchochea utamaduni wa kuweka akiba kwa wanawake wajasiriamali na kuwaelimisha aina tofauti ya kuweka...