KIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAAHIDIWA MKOPO NA COVENANT BENKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Covenant Bi.Sabetha Mwambenja akitoa mfano wa beiskali wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji Ng’ombe wa kisasa cha Kata ya Somangila Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi huo.Benki hiyo inategemea kutoa mkopo kwa kikundi hicho ili waweze kuendeleza ufugaji huo. Kulia ni Mratibu wa Wafugaji wa Ng’ombe wa Kata ya hiyo Getruda Mpelembe na katikati ni mtunza Hazina wa Kikundi hicho Jumanne Hussen na Kushoto ni Mwenyekiti ...
Michuzi