Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Snapchat sasa kutumika kutuma fedha

Programu ya ujumbe ya Snapchat sasa itawaruhusu watumiaji wake kutuma pesa kwa marafiki zao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

BMTL yaja na mashine za kutuma fedha benki

WAKATI wahalifu wakiwa wanabuni mbinu mpya kila siku za kuiba katika benki tofauti nchini, Kampuni Business Machines Tanzania Limited (BMTL), imekuja na mashine mpya za kuwadhibiti wahalifu ikiwemo ya kutuma...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TPC yaboresha huduma ya kutuma fedha kwa mitandao

NA WILLIAM SHECHAMBO
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC), limesema liko mbioni kuboresha zaidi huduma zake ikiwemo ya kutuma fedha kwa mitandao ya simu, hatua ambayo itawezesha wananchi kutumia huduma za shirika hilo zitakazokuwa na ubora na unafuu kwa manufaa ya umma.
Pia limesema huduma za posta ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote duniani licha ya uwepo wa tekinolojia mbalimbali hususan barua pepe na simu za viganjani ambapo hata nchi zilizoendelea bado zinaendelea kutumia mawasiliano ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

WhatsApp Pay: Facebook yazindua huduma ya kutuma fedha bila malipo

WhatsApp imezindua huduma ya malipo ya kidijitali nchini Brazil katika juhudi za kutumia umaarufu wake kuingia kwenye masoko yanayoibuka katika ulimwengu wa biashara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa

IMG_5163

 

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.

Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya BOA waletea wateja wake huduma mpya ya kutuma fedha Kimataifa ya ‘WARI’

boa

Mkurugenzi wa ICT , Bw. Willington Munya  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma hiyo mpya ya BOA. anayefuatia ni  Meneja wa E.Banking, Bi. Editha Jumbe na wa mwisho ni Afisa masoko Danieli Sarungi. ( Picha na Niccomediatz).

Benk ya BOA Tanzania imeleta huduma mpya kwa wateja wake ijulikanayo kama WARI-huduma ya kutuma fedha kimataifa ambapo kwa sasa huduma hiyo imeingia nchini na mteja anaweza kutuma na kupokea  fedha ndani na nje bila ya kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba

Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kuanza kutumia umeme wa gesi asilia kutoka kwenye moja ya mitambo yake iliyopo Kinyerezi jijini Dar es Salaam, ifikapo Desemba mwaka huu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Fedha za sherehe zilizofutwa kutumika kutekeleza sera ya Elimu bure

1

Kamishna wa Bajeti kutoka Wizara Fedha Bw. John Cheyo akitoa ufafanuzi  kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na vyombo vya habari hapa nchini kuwa hazina yakauka, taarifa hizo ni za upotoshaji kwani mfumo wa Serikali wa bajeti unaiwezesha Serikali kupanga vipaumbele vya matumizi kulingana na  bajeti ilivyopangwa ambapo fedha zinazokusanywa kupitia mfuko mkuu wa Serikali ndizo hutumika. Kushoto ni Kamishna msaidizi wa Bajeti Bw....

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING: ANGA LA TANZANIA SASA RASMI KUTUMIKA - WAZIRI MHANDISI KAMWELWE

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), alipokutana nao kutoa taarifa ya kuruhusu anga la Tanzania kutumika kwa ndege za abiria, biashara na mizigo, jijini Dodoma leo. 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini, Mhandisi Julius Ndyamukana (kulia), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani