BREAKING NYUZZZZZ: BENKI YA STANBIC TANZANIA MATATANI TENA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam leo kuhusiana na tuhuma zilizoelekezwa benki ya Stanbic Tanzania kuwa imetumika katika kufanya udanganyifu wa riba ya mkopo dola Milioni 600 iliyopewa serikali ya Tanzania na Uingereza kupitia Kampuni ya Egma ya Tanzania.
Amesema kuwa Benki kuu ilifanya ukaguzi wa benki hiyo na mambo mengine walibaini malipo yasiyokuwa ya kawaida kuhusiana na kampuni ya kitanzania inayoitwa Egma,malipo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ.....: MICHAEL WAMBURA AONDOLEWA TENA UCHAGUZI MKUU SIMBA

11 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ........: GEORGE TYSON HATUNAYE TENA,AFARIKI DUNIA AJALINI MKONI MOROGORO

GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU HUU BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA KUTOKANA NA GARI WALIOLOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA MKOANI DODOMA KUJA DAR ES SALAAM,WAKITOKEA KWENYE HAFLA YA KUADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KIPINI CHA TELEVISHENI CHA THE MBONI SHOW,KUPINDUKA MARA KADHAA KUTOKANA NA KUPASUKA KWA MIPIRA...
5 years ago
Michuzi
BENKI YA STANBIC TANZANIA YAKABIDHI MILIONI 30/= KWA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT).

10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ.....: UCHAGUZI WA ZANZIBAR WAFUTWA
Taarifa kamili hii hapa chini.



11 years ago
Michuzi
Breaking Nyuzzzzz....: Msanii Diamond anashikiliwa na Polisi

Diamond amejikuta akifikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Meneja wake Babu Tale kamatwa na jana kwa kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi hayo ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki....
11 years ago
Michuzi05 May
Breaking Nyuzzzzz: wananchi Kibaigwa wafunga barababa usiku huu
Kinachoendelea hivi sasa ni Jeshi la Polisi likijaribu kuwatawanya wananchi hao kwa kutumia mabobu ya machozi.
Wananchi hao wamejikusanya kuwatawanya kwa wingi katika eneo hilo...
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Ukonga, Mh. Eugene Mwaiposa afariki dunia

TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu utaagwa kesho tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake...
11 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ.....: MZEE SMALL AFARIKI DUNIA USIKU HUU

AKITHIBITISHA TAARIFA YA KIFO CHA MZEE SMALL,MWANAE AITWAE MAHMOUD AMESEMA MZEE WAKE AMEFIKWA NA MAUTI HAYO MAJIRA YA SAA NNE USIKU WAKATI AKIWA HOSPITALINI HAPO AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU.
MIPANGO INAFANYIKA NYUMBANI KWAO TABATA NA KADRI TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA TUTAENDELEA KUJULISHANA.
NI PIGO...
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ......: NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, DKT. MAKONGORO MAHANGA KUTIMKIA CHADEMA LEO
