Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika ayataka majina waliochukua fedha Stanbic

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) ametaka watu wote waliopokea fedha zaidi ya Sh73 bilioni kutoka kwenye akaunti mbili za PAP katika Benki ya Stanbic iliyopokea fedha za escrow watajwe majina na kufilisiwa mali zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa fedha zote zilizopotea kutokana na ukwepaji wa kodi zaidi ya Sh26 bilioni kwenye sakata la escrow zitarudishwa na waliohusika watachukuliwa hatua.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: VIONGOZI WALIOCHUKUA FEDHA ZA TASAF KINYUME NA MALENGO WAZIREJESHE HARAKA


RAIS Dkt. John Magufuli amewataka Viongozi wote wa Serikali waliochukua fedha za mpango wa kunusuru kaya maskini nchini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na kuzitumia isivyo sahihi kuzirejesha mara moja kwani serikali haipo tayari kuona fedha hizo zikitumika kinyume na malengo yaliyowekwa.
Akizngumza katika hafla ya uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) leo Jumatatu (Februari 17, 2020) Jijini Dar es...

 

9 years ago

Raia Mwema

Fedha za Stanbic ziligharimia kampeni Ukawa?

UCHUNGUZI unaoendelea wa serikali kuhusu ufisadi wa takribani shilingi bilioni 13 katika mkopo ul

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya Stanbic yazindua mashine za kisasa za kutolea fedha

stan atms

Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed akionyesha jinsi ATM za kisasa zinavyofanya kazi wakati wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Benki ya Stanbic Tanzania katika kuboresha huduma zake zaidi kwa wateja wake imezindua  mashine za kisasa za kutolea fedha (ATM) zenye kioo cha kugusa (Touch Screen) wakati wa kufanya miamala ikiwa ni benki ya kwanza kuleta mashine hizi za kisasa hapa nchini  Tanzania.

Mkuu wa Huduma mbadala wa Stanbic Tanzania Farha Mohamed alisema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika: JK aweke hadharani fedha za masoko ya Machinga

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete aweke hadharani fedha alizosema zimetengwa kwa ajili ya kujengea masoko ya kisasa ya machinga kila Wilaya Mkoa wa Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika aishukia Serikali utoroshaji fedha nje ya nchi

>Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeilipua Serikali kwa kushindwa kudhibiti utoroshwaji mkubwa wa fedha kwenda nje.

 

5 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA RUGEMALIRA AIAMBIA MAHAKAMA AMEMUANDIKIA BARUA GAVANA BOT ILI KUORODHESHA MAJINA YA WALIOPOKEA FEDHA ZA ESCRO

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii

MFANYABIASHARA James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa amemuandikia barua Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani(BoT), akimuomba amuorodheshee majina ya watu wote waliopokea fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ili ajisafishe kwani yeye hakupokea hata senti moja.

Hata hivyo Gavana alimjibu atatoa orodha hiyo pale atakapopata amri halali ya Mahakama ya kumtaka kufanya hivyo. Pia Rugemalira amedai ameandika notisi kwa taasisi...

 

5 years ago

Michuzi

DC ayataka makampuni mafuta na gesi kuimarisha mifumo ya usalama na afya kazini

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Sarah Msafiri akiongea na wadau wa Mafuta na gesi (ambao hawapo pichani), Kikao kilichofanyika Ofisi za Mkuu wa Wilaya Kigamboni kwaajili ya kujadiliana masuala ya usalama na afya mahali pa kazi kwa wanyafanyakazi wa sekta hiyo.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi Khadija Mwenda akiongea kwenye Kikao na wadau wa mafuta na gesi, kwenye kikao cha Kujadiliana masuala ya utekelezaji wa masula ya usalama na Afya kwenye sekta hiyo, kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

GPL

MWIGULU AYATAKA MABARAZA YA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dkt. Joseph Kihanda (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara Prof. Isaya Jairo kabla ya kuzindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) lililojumuisha wawakilishi kutoka matawi 6 ya taasisi hiyo  katika mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza , Mtwara, Dar es salaam na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani