MFANYABIASHARA RUGEMALIRA AIAMBIA MAHAKAMA AMEMUANDIKIA BARUA GAVANA BOT ILI KUORODHESHA MAJINA YA WALIOPOKEA FEDHA ZA ESCRO
Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii
MFANYABIASHARA James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa amemuandikia barua Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani(BoT), akimuomba amuorodheshee majina ya watu wote waliopokea fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ili ajisafishe kwani yeye hakupokea hata senti moja.
Hata hivyo Gavana alimjibu atatoa orodha hiyo pale atakapopata amri halali ya Mahakama ya kumtaka kufanya hivyo. Pia Rugemalira amedai ameandika notisi kwa taasisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Felicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa imeamuru mfanyabiashara huyo wa Rwanda ashtakiwe katika mahakama ya UN
10 years ago
Habarileo05 Mar
Mnikulu: Sifahamu sababu za kupewa fedha na Rugemalira
MNIKULU Shaban Gurumo amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kwamba alipokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa James Rugemalira na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi, ingawa amekanusha kuomba fedha hizo.
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Mar
Gurumo: Aulizwe Rugemalira ndio amenipa fedha
NA WAANDISHI WETU MNIKULU katika Ofisi ya Rais Ikulu, Shaaban Gurumo, amesema hajui fedha alizopewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira zilikuwa ni za nini ndio maana alizitumia atakavyo. Aidha, ametaka watu wanaohoji kuhusu fedha hizo, wamkabili Rugemalira kwa kuwa ndiye anayejua sababu za kumpatia. Alisenma hawezi kujua Rugemalira alimpa fedha kwa lengo gani, kwa kuwa hicho ni kiasi kidogo na cha kawaida kwake kulingana na fedha alizonazo, hivyo...
10 years ago
VijimamboJAMES RUGEMALIRA AIGEUZIA KIBAO SERIKALI AFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUIDAI SH.BILIONI 398 ZA ESCROW ACCOUNT
Mmiliki wa VIP Engineering, aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira amefungua kesi mahakama kuu akiidai serikali jumla ya Sh. 398 bilion zilizokuwemo/ zinazotakiwa kuwemo katika Escrow Account ya Tegete na zilizolipwa kwa kampuni ya PAP na kuleta mjafala mkubwa bungeni.
Katika madai yake, mwenye hisa hatambui malipo yote yaliyolipwa na serikali kwa kampuni ya PAP kwani kampuni hiyo haikuwa na nyaraka halali kutoka kwa msajili wa makampuni BRELA, Taxe Clearance...
11 years ago
Habarileo09 Mar
Mahakama yavunja ndoa ya mfanyabiashara
MAHAKAMA ya Mwanzo Utemini mjini Singida imeamuru kuvunjwa rasmi kwa ndoa kati ya mfanyabiashara Baltazar Mushi, maarufu kwa jina la 'Sam Mayuni' (34) na mkewe Lucy Msuya (32), ili kuepusha unyanyasaji zaidi kwa mkewe.
11 years ago
Habarileo26 Dec
Mahakama ya Rufaa yamwachia huru mfanyabiashara
MAHAKAMA ya Rufani Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Amnus Athanus aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, atolewe gerezani.
5 years ago
MichuziMAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA MFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020 akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga kuwa upande wa mashtaka hauna nia ya kuendelea kumshitaki Mohamed kwa kosa hilo.
Aliomba...
11 years ago
Habarileo24 Apr
Fedha, faida BoT inajadilika
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Hawa Ghasia, amesema mambo ya fedha na faida ya Benki Kuu (BoT) ambayo yanatajwa kuwa sehemu ya kero ya Muungano na kwa sasa Zanzibar inapata asilimia 4.5, yanajadilika katika serikali mbili kuhusu faida hiyo itaongezwa kwa Zanzibar.