Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gurumo: Aulizwe Rugemalira ndio amenipa fedha



NA WAANDISHI WETU MNIKULU katika Ofisi ya Rais Ikulu, Shaaban Gurumo, amesema hajui fedha alizopewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira zilikuwa ni za nini ndio maana alizitumia atakavyo. Aidha, ametaka watu wanaohoji kuhusu fedha hizo, wamkabili Rugemalira kwa kuwa ndiye anayejua sababu za kumpatia. Alisenma hawezi kujua Rugemalira alimpa fedha kwa lengo gani, kwa kuwa hicho ni kiasi kidogo na cha kawaida kwake kulingana na fedha alizonazo, hivyo...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mnikulu: Sifahamu sababu za kupewa fedha na Rugemalira

Mnikulu Shaban GurumoMNIKULU Shaban Gurumo amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kwamba alipokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa James Rugemalira na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi, ingawa amekanusha kuomba fedha hizo.

 

5 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA RUGEMALIRA AIAMBIA MAHAKAMA AMEMUANDIKIA BARUA GAVANA BOT ILI KUORODHESHA MAJINA YA WALIOPOKEA FEDHA ZA ESCRO

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii

MFANYABIASHARA James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa amemuandikia barua Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani(BoT), akimuomba amuorodheshee majina ya watu wote waliopokea fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ili ajisafishe kwani yeye hakupokea hata senti moja.

Hata hivyo Gavana alimjibu atatoa orodha hiyo pale atakapopata amri halali ya Mahakama ya kumtaka kufanya hivyo. Pia Rugemalira amedai ameandika notisi kwa taasisi...

 

10 years ago

GPL

MZIWANDA: SHILOLE AMENIPA MWANGA

Nuhu Mziwanda ndani ya studio za Global TV Online. STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ndiye aliyempa mwanga kunako gemu ya Bongo Fleva.…

 

9 years ago

Bongo5

Akon amenipa mwanga mkubwa kimuziki – Mayunga

Pic 3

Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga amesema kukutana na Akon nchini Marekani kumempa mwanga kimuziki.

Pic 3
Mayunga akisalimiana na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya

Muimbaji huyo aliyerejea nchini kutoka Marekani, alikutana na Akon nyumbani kwake Los Angeles na kurekodi naye wimbo.

Akiwa huko, Mayunga amesema alipata mafunzo mengi ya muziki.

“Fursa hii imenipa mwanga zaidi katika namna ya kufikiri na kujipanga ili kuzifikia ndoto zangu katika tasnia ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa aipigia kura ya ndio bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo....

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AIPIGIA KURA YA NDIO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo....

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

9 years ago

TheCitizen

‘Rugemalira should have been charged’

PCCB man concedes giver of bribe is also culpable

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani