Mnikulu: Sifahamu sababu za kupewa fedha na Rugemalira
MNIKULU Shaban Gurumo amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kwamba alipokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa James Rugemalira na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi, ingawa amekanusha kuomba fedha hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Mar
Gurumo: Aulizwe Rugemalira ndio amenipa fedha
NA WAANDISHI WETU MNIKULU katika Ofisi ya Rais Ikulu, Shaaban Gurumo, amesema hajui fedha alizopewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira zilikuwa ni za nini ndio maana alizitumia atakavyo. Aidha, ametaka watu wanaohoji kuhusu fedha hizo, wamkabili Rugemalira kwa kuwa ndiye anayejua sababu za kumpatia. Alisenma hawezi kujua Rugemalira alimpa fedha kwa lengo gani, kwa kuwa hicho ni kiasi kidogo na cha kawaida kwake kulingana na fedha alizonazo, hivyo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bIjGfIPeqx0/XkVu-777hJI/AAAAAAALdSE/hfu_70dOXcMKc44tzv5liOKHNib62QRmACLcBGAsYHQ/s72-c/6_1.jpg)
MFANYABIASHARA RUGEMALIRA AIAMBIA MAHAKAMA AMEMUANDIKIA BARUA GAVANA BOT ILI KUORODHESHA MAJINA YA WALIOPOKEA FEDHA ZA ESCRO
![](https://1.bp.blogspot.com/-bIjGfIPeqx0/XkVu-777hJI/AAAAAAALdSE/hfu_70dOXcMKc44tzv5liOKHNib62QRmACLcBGAsYHQ/s320/6_1.jpg)
MFANYABIASHARA James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa amemuandikia barua Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani(BoT), akimuomba amuorodheshee majina ya watu wote waliopokea fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ili ajisafishe kwani yeye hakupokea hata senti moja.
Hata hivyo Gavana alimjibu atatoa orodha hiyo pale atakapopata amri halali ya Mahakama ya kumtaka kufanya hivyo. Pia Rugemalira amedai ameandika notisi kwa taasisi...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Wapinga kamati za kata kupewa fedha
WANANCHI wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, wamepinga utaratibu wa serikali kupitisha fedha za miradi ya maendeleo kwenye Kamati za Maendeleo ya Kata (WDS), na kusema fedha hizo zinapaswa zipelekwe...
10 years ago
Mwananchi26 May
Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016
Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]
The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...
9 years ago
TheCitizen04 Sep
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Zitto amlipua Rugemalira wa Escrow
Na Bakari Kimwanga, Iringa
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kushangazwa na hatua ya Serikali kuwapatia kazi ya ujenzi wa Bandari ya Mwambani mkoani Tanga watuhumiwa wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.
Amesema watuhumiwa hao wamepewa kazi hiyo kupitia Mradi wa Mwambani Economic Corridor (MWAPORC), ambao utagharimu Sh trilioni 54, huku kukiwa hakuna taratibu za utangazaji wa zabuni zilizofuatwa na Serikali.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia mikutano...
10 years ago
Daily News05 Mar
Ngurumo 'accepted money from Rugemalira'
Daily News
IT has finally been revealed that State House Comptroller, Mr Shaban Rajab Ngurumo, never received 800m/- from a prominent businessman, James Rugemalira, as previously propagated in the National Assembly and subsequently widely published in the ...
10 years ago
TheCitizen24 Nov
Lipumba: Arrest Sethi, Rugemalira