Akon amenipa mwanga mkubwa kimuziki – Mayunga
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga amesema kukutana na Akon nchini Marekani kumempa mwanga kimuziki.
Mayunga akisalimiana na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya
Muimbaji huyo aliyerejea nchini kutoka Marekani, alikutana na Akon nyumbani kwake Los Angeles na kurekodi naye wimbo.
Akiwa huko, Mayunga amesema alipata mafunzo mengi ya muziki.
“Fursa hii imenipa mwanga zaidi katika namna ya kufikiri na kujipanga ili kuzifikia ndoto zangu katika tasnia ya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMZIWANDA: SHILOLE AMENIPA MWANGA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/PICT-1-001.jpg?width=650)
MAYUNGA NALIMI AELEKEA MAREKANI KUREKODI VIDEO NA AKON
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s72-c/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-4nRKuOE6J_A/VkWML-UF97I/AAAAAAAIFm4/mgufi1Um0Ac/s400/RadekArtPhoto-6260.jpg)
Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...
9 years ago
Bongo514 Nov
Mayunga kuondoka Jumatatu kwenda Marekani kurekodi wimbo na Akon
![yunga akon](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/yunga-akon-300x194.jpg)
Mwimbaji wa Tanzania, Mayunga Nalimi ambaye ni mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2015 anatarajia kuondoka nchini Jumatatu (Nov. 16), kuelekea New York, Marekani kwajili ya kurekodi wimbo na mwimbaji mwenye asili ya Senegal, Akon.
Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Mayunga ametaja mambo matatu anayokwenda kufanya Marekani.
“…naenda kupata hiyo mentorship, kufanya wimbo, na vilevile kushoot video ya wimbo ambao nitaufanya” alisema Mayunga.
Ameongeza kuwa wimbo anaoenda kurekodi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_YSzKYAQsXo/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0zDmjfn08Z1o7ZI3PROuQafz3McoG9lq91GuNKjeQORgAh*KxTdFtHM2KV2vQgRgiy2-soRvfGXHJsvreO4fp*/RadekArtPhoto6098.jpg?width=650)
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zOltqygyYsg/VkofcrwTuJI/AAAAAAAIGQ0/YdDVj3iFiAM/s72-c/58497eff-e738-40cc-b7ba-b2600a229eb8.jpg)
mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon
9 years ago
Bongo524 Nov
Picha: Mayunga akamilisha collabo yake na Akon na kushoot video siku moja, amtumia model wa Chris Brown
![Mayunga na Akon](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mayunga-na-Akon-300x194.jpg)
Kazi iliyompeleka mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi nchini Marekani, ya kufanya collabo na boss wa label ya Konvict Music, Akon imekamilika.
Mayunga ameelezea jinsi kazi hiyo ilivyofanyika kwa siku moja, kuanzia kupewa wimbo kuushika, kurekodi na kushoot video vyote ndani ya saa 24.
“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon...