Mahakama yavunja ndoa ya mfanyabiashara
MAHAKAMA ya Mwanzo Utemini mjini Singida imeamuru kuvunjwa rasmi kwa ndoa kati ya mfanyabiashara Baltazar Mushi, maarufu kwa jina la 'Sam Mayuni' (34) na mkewe Lucy Msuya (32), ili kuepusha unyanyasaji zaidi kwa mkewe.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Felicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa imeamuru mfanyabiashara huyo wa Rwanda ashtakiwe katika mahakama ya UN
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Tofauti ya kidini yavunja ndoa India
10 years ago
Habarileo30 Oct
SMS ya nabii yavunja ndoa ya muumini wake
UJUMBE mfupi wa simu ya mkononi (SMS) wa kimapenzi ambao ulitumwa kutoka simu inayomilikiwa na kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii Geor David Kasambala kwenda kwa mke wa muumini wa kanisa hilo umesababisha ndoa kuvunjika. Mwanamke aliyetumiwa SMS na nabii huyo ni Pamela Godfrey, mke wa Wilson Lota, wote waumini wa kanisa linaloongozwa na Nabii Geor David.
11 years ago
Habarileo26 Dec
Mahakama ya Rufaa yamwachia huru mfanyabiashara
MAHAKAMA ya Rufani Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Amnus Athanus aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, atolewe gerezani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TI4EUdeNYJ8/XvHnIzesV7I/AAAAAAALvD4/XPB6L_6sOXIbSulAmbQSOXCfatbC4WUEwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-23%2Bat%2B2.18.12%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA MFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-TI4EUdeNYJ8/XvHnIzesV7I/AAAAAAALvD4/XPB6L_6sOXIbSulAmbQSOXCfatbC4WUEwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-23%2Bat%2B2.18.12%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020 akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga kuwa upande wa mashtaka hauna nia ya kuendelea kumshitaki Mohamed kwa kosa hilo.
Aliomba...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bIjGfIPeqx0/XkVu-777hJI/AAAAAAALdSE/hfu_70dOXcMKc44tzv5liOKHNib62QRmACLcBGAsYHQ/s72-c/6_1.jpg)
MFANYABIASHARA RUGEMALIRA AIAMBIA MAHAKAMA AMEMUANDIKIA BARUA GAVANA BOT ILI KUORODHESHA MAJINA YA WALIOPOKEA FEDHA ZA ESCRO
![](https://1.bp.blogspot.com/-bIjGfIPeqx0/XkVu-777hJI/AAAAAAALdSE/hfu_70dOXcMKc44tzv5liOKHNib62QRmACLcBGAsYHQ/s320/6_1.jpg)
MFANYABIASHARA James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa amemuandikia barua Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani(BoT), akimuomba amuorodheshee majina ya watu wote waliopokea fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ili ajisafishe kwani yeye hakupokea hata senti moja.
Hata hivyo Gavana alimjibu atatoa orodha hiyo pale atakapopata amri halali ya Mahakama ya kumtaka kufanya hivyo. Pia Rugemalira amedai ameandika notisi kwa taasisi...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Mahakama yalalamikiwa kuvunja ndoa
MAHAKAMA ya Mwanzo Namanyere, wilayani Nkasi, imelalamikiwa kuvunja ndoa iliyokuwa na mgogoro bila kugawanya mali iliyochumwa na wanandoa wakiwa pamoja. Maria Tarafa (25), mkazi wa Kijiji cha Isale ambaye ni...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mapya yaibuka ndoa iliyovunjwa na mahakama
SAKATA la ndoa iliyovunjwa na Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya kubainika kuwa mume aliyeomba kuvunjwa kwa ndoa yake, Ndebile Kazuri, alimkatisha masomo...
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Mahakama yamnyima haki za tendo la ndoa