Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Felicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa imeamuru mfanyabiashara huyo wa Rwanda ashtakiwe katika mahakama ya UN

Mahakama nchini Ufaransa imeagiza Félicien Kabuga ambaye anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda kufikishwa mbele ya mahakama maalum ya Umoja wa mataifa iliopo Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya Rwanda: Jinsi Felicien Kabuga alivyojificha kwa miaka 26

Kabuga mwenye miaka 84 amekuwa mafichoni kwa muda mrefu hali ya kwamba jopo la kimataifa lililobuniwa kuchunguza mauaji hayo ya 1994 liliacha kufanya kazi yake.

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama yavunja ndoa ya mfanyabiashara

MAHAKAMA ya Mwanzo Utemini mjini Singida imeamuru kuvunjwa rasmi kwa ndoa kati ya mfanyabiashara Baltazar Mushi, maarufu kwa jina la 'Sam Mayuni' (34) na mkewe Lucy Msuya (32), ili kuepusha unyanyasaji zaidi kwa mkewe.

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama ya Rufaa yamwachia huru mfanyabiashara

MAHAKAMA ya Rufani Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Amnus Athanus aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, atolewe gerezani.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA MFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA

 Mfanyabiashara Mussa Mohamed akiingia katika mahaka ya hakimu Mkazi jijini Dar es Salaam leo.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020  akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga kuwa upande wa mashtaka hauna nia ya kuendelea kumshitaki Mohamed kwa kosa hilo.
Aliomba...

 

5 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA RUGEMALIRA AIAMBIA MAHAKAMA AMEMUANDIKIA BARUA GAVANA BOT ILI KUORODHESHA MAJINA YA WALIOPOKEA FEDHA ZA ESCRO

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii

MFANYABIASHARA James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa amemuandikia barua Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani(BoT), akimuomba amuorodheshee majina ya watu wote waliopokea fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ili ajisafishe kwani yeye hakupokea hata senti moja.

Hata hivyo Gavana alimjibu atatoa orodha hiyo pale atakapopata amri halali ya Mahakama ya kumtaka kufanya hivyo. Pia Rugemalira amedai ameandika notisi kwa taasisi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya mauaji ya kimbari Rwanda yafungwa

Mahakama ya kimataifa iliyoundwa kuchunguza mauaji ya kimbari nchini Rwanda ya mwaka wa 1994 {ICTR} imefunga shughuli zake mjini Arusha Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya mauaji ya Rwanda yafunga washukiwa

Mahakama Maalum ya Kimataifa ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda imetoa hukumu yake ya mwisho, miaka 20 baada ya kuanza kazi na kuwapata na hatia watuhumiwa sita.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aagana na Balozi wa Ufaransa,amuaga pia Jaji wa Mahakama ya Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO

Na Innocent Kansha- Mahakama  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa  njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu,  kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani