Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete aagana na Balozi wa Ufaransa,amuaga pia Jaji wa Mahakama ya Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI,PIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANZA NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA MISRI AMUAGA RAIS KIKWETE IKULU


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na Balozi wa Misri anayemaliza muda wake Mhe.Hossam Moharram Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiagana  na Balozi wa Misri  anayemaliza muda wake Mhe.Hossam Moharram Ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa Saudia Amuaga Rais Kikwete leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe. Hani Abdullah Mominah wakati balozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe. Hani Abdullah Mominah wakati balozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe. Hani...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Norway Mhe. Ingunn Klepsvik amuaga Rais Kikwete ikulu

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA JAPAN

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Japan Mhe.Masaki Okada ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi waAlgeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar esSalaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada yakumaliza muda wake wa kazi nchini.PICHA NA IKULU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani