‘Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa fedha zote zilizopotea kutokana na ukwepaji wa kodi zaidi ya Sh26 bilioni kwenye sakata la escrow zitarudishwa na waliohusika watachukuliwa hatua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Nov
TUCTA: Waliohusika sakata la Escrow wachukuliwe hatua
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema waliohusika na wizi katika akaunti ya Escrow, iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuchukuliwa hatua kali na shirikisho hilo halitokubaliana na jitihada zozote za kufunika wizi huo.
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Wanasiasa hawa wachukuliwe hatua za kinidhamu
WALIOWAHI kushika nyadhifa kubwa serikalini wanapotosha vijana wetu katika majukwaa ya kisiasa kw
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Dk Bilal: Wanaohujumu miundombinu nchini wachukuliwe hatua za kisheria
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA WATENDAJI WOTE WABABAISHAJI TARURA WACHUKULIWE HATUA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura), Victor Seff kuwachukulia hatua watendaji wote wababaishaji kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri.
Jafo amesema kuna watumishi katika ngazi za Mikoa ambao wamekua wakikwamisha spidi ya wakala huo katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma wakati wakati akiizindua rasmi Bodi ya Ushauri ya Tarura ambayo...
10 years ago
MichuziMchezaji Hamis Tambwe alia na TFF,atawaka wanaoleta vurugu wachukuliwe hatua
Mshambuliaji Hamis Tambwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuchukua hatua stahiki dhidi ya wachezaji wa Ruvu Shooting kwa kitendo cha kumshambulia na kumtolea lugha chafu uwanjani ikiwemo kumbagua kwa kumuita mkimbizi.
Akizungumza Makao Makuu ya klabu ya Yanga iliyopo mtaa wa Twiga na Jangwani leo, Tambwe alisema kuwa kitendo alichofanyiwa ni cha kinyama na anakilaani kwa nguvu zote, na anataka aelezwe wazi iwapo wachezaji kutoka mataifa mengine hawatakiwi kucheza Tanzania.
"Uwanja...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mnyika ayataka majina waliochukua fedha Stanbic
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI: VIONGOZI WALIOCHUKUA FEDHA ZA TASAF KINYUME NA MALENGO WAZIREJESHE HARAKA
RAIS Dkt. John Magufuli amewataka Viongozi wote wa Serikali waliochukua fedha za mpango wa kunusuru kaya maskini nchini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na kuzitumia isivyo sahihi kuzirejesha mara moja kwani serikali haipo tayari kuona fedha hizo zikitumika kinyume na malengo yaliyowekwa.
Akizngumza katika hafla ya uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) leo Jumatatu (Februari 17, 2020) Jijini Dar es...
10 years ago
StarTV31 Dec
Hatua zaidi zatakiwa kuchukuliwa wahusika wa ESCROW.
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Wakati baadhi ya wananchi na taasisi mbalimbali nchini zikiendelea kushinikiza uwajibishwaji wa baadhi ya viongozi waliohusika na wizi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, umoja wa shirikisho la chuo kikuu cha Dodoma umeshauri hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya wahusika wote kwani kuvuliwa nyadhifa zao pekee haitoshi.
Aidha shirikisho hilo limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuanza kuwawajibisha baadhi yao likimshauri kuendelea pia kuwashughulikia wale wote...