Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUCTA: Waliohusika sakata la Escrow wachukuliwe hatua

Gratian MukobaSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema waliohusika na wizi katika akaunti ya Escrow, iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuchukuliwa hatua kali na shirikisho hilo halitokubaliana na jitihada zozote za kufunika wizi huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa fedha zote zilizopotea kutokana na ukwepaji wa kodi zaidi ya Sh26 bilioni kwenye sakata la escrow zitarudishwa na waliohusika watachukuliwa hatua.

 

10 years ago

Vijimambo

UKAWA WACHARUKA, WASEMA HATUA ZA JK DHIDI YA WATUHUMIWA SAKATA LA ESCROW HAZITOSHI


Mwenyekiti mwenza wa vuguvugu la umoja wa katiba ya wananchi maarufu kama UKAWA, amjbaye pia ni mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, (Kulia), akifafanua jambo wakati wa mkutano wa umoja huo na waandihi wa habari makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam jana. UKAWA imejibu hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya kashfa ya akaunti ya Tegeta-Escrow, kuwa hatua alizochukua hazijakidhi matarajio ya wananchi walio wengi na kutaka hatua zaidi zichukuliwe kwa kuwajibishwa wote waliotajwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wanasiasa hawa wachukuliwe hatua za kinidhamu

WALIOWAHI kushika nyadhifa kubwa serikalini wanapotosha vijana wetu katika majukwaa ya kisiasa kw

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

StarTV

Kufutwa Uchaguzi Zanzibar Waliohusika watakiwa kuchukuliwa hatua

Shirikisho la vyuo vikuu Zanzibar limeomba kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote aliyehusika na kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar bila kujali cheo ama wadhifa wake.

Akisoma taarifa ya wasomi hao wanaounga mkono ccm mbele ya wanahabari visiwani Zanzibar Makamu mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vya elimu ya juu wanaunga mkono CCM Zanzibar Hamid Saleh Muhina anasema maeneo mengi ya hujuma katika uchaguzi huo yamebainika ila tuma na baadhi ya makamishna kukaa kimya...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Wanaohujumu miundombinu nchini wachukuliwe hatua za kisheria

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema watu wanaobainika kuhujumu miundombinu inayowekezwa nchini wachukuliwe hatua kali bila kujali wadhifa au kazi zao.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA WATENDAJI WOTE WABABAISHAJI TARURA WACHUKULIWE HATUA

Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura), Victor Seff kuwachukulia hatua watendaji wote wababaishaji kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri.

Jafo amesema kuna watumishi katika ngazi za Mikoa ambao wamekua wakikwamisha spidi ya wakala huo katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma wakati wakati akiizindua rasmi Bodi  ya Ushauri ya Tarura ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

Mchezaji Hamis Tambwe alia na TFF,atawaka wanaoleta vurugu wachukuliwe hatua


Mshambuliaji Hamis Tambwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuchukua hatua stahiki dhidi ya wachezaji wa Ruvu Shooting kwa kitendo cha kumshambulia na kumtolea lugha chafu uwanjani ikiwemo kumbagua kwa kumuita mkimbizi.

Akizungumza Makao Makuu ya klabu ya Yanga iliyopo mtaa wa Twiga na Jangwani leo, Tambwe alisema kuwa kitendo alichofanyiwa ni cha kinyama na anakilaani kwa nguvu zote, na anataka aelezwe wazi iwapo wachezaji kutoka mataifa mengine hawatakiwi kucheza Tanzania.
"Uwanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani