Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bilal: Wanaohujumu miundombinu nchini wachukuliwe hatua za kisheria

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema watu wanaobainika kuhujumu miundombinu inayowekezwa nchini wachukuliwe hatua kali bila kujali wadhifa au kazi zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa fedha zote zilizopotea kutokana na ukwepaji wa kodi zaidi ya Sh26 bilioni kwenye sakata la escrow zitarudishwa na waliohusika watachukuliwa hatua.

 

9 years ago

Raia Mwema

Wanasiasa hawa wachukuliwe hatua za kinidhamu

WALIOWAHI kushika nyadhifa kubwa serikalini wanapotosha vijana wetu katika majukwaa ya kisiasa kw

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Habarileo

TUCTA: Waliohusika sakata la Escrow wachukuliwe hatua

Gratian MukobaSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema waliohusika na wizi katika akaunti ya Escrow, iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuchukuliwa hatua kali na shirikisho hilo halitokubaliana na jitihada zozote za kufunika wizi huo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA WATENDAJI WOTE WABABAISHAJI TARURA WACHUKULIWE HATUA

Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura), Victor Seff kuwachukulia hatua watendaji wote wababaishaji kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri.

Jafo amesema kuna watumishi katika ngazi za Mikoa ambao wamekua wakikwamisha spidi ya wakala huo katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma wakati wakati akiizindua rasmi Bodi  ya Ushauri ya Tarura ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

Mchezaji Hamis Tambwe alia na TFF,atawaka wanaoleta vurugu wachukuliwe hatua


Mshambuliaji Hamis Tambwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuchukua hatua stahiki dhidi ya wachezaji wa Ruvu Shooting kwa kitendo cha kumshambulia na kumtolea lugha chafu uwanjani ikiwemo kumbagua kwa kumuita mkimbizi.

Akizungumza Makao Makuu ya klabu ya Yanga iliyopo mtaa wa Twiga na Jangwani leo, Tambwe alisema kuwa kitendo alichofanyiwa ni cha kinyama na anakilaani kwa nguvu zote, na anataka aelezwe wazi iwapo wachezaji kutoka mataifa mengine hawatakiwi kucheza Tanzania.
"Uwanja...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka hatua za kisheria kwa wahusika

Wasomi, wanasiasa na wanaharakati wametaka hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa wote waliohusika na uchotwaji wa fedha katika akaunti ya escrow.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria

Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati walipongeza Bunge, wataka hatua zaidi kisheria

Wasomi mbalimbali nchini wamelipongeza Bunge kwa kufanya uamuzi kwa maridhiano na kutoa mapendekezo manane kwa Serikali ili ichukue hatua dhidi ya wote waliohusika katika wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani