Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumuiya ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) yapata viongozi wapya

Na Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar  Mwanahabari Abdallah Abdulrahman Mfaume amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) kwenye mkutano mkuu wa jumuiya hiyo uliombatana na Uchaguzi wa viongozi wapya katika ukumbi wa Ekrotanal Mjini Unguja.  Bw. Mfaume aliibuka mshindi baada ya kupata kura 40 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Bw. Suleiman Abdalla ambae alipata kura tisa. Katibu Mtendaji wa ZPC Faki Mjaka ambaye hakuwa na Mpinzani alipata kura 46 na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NHIF YAWAFUNDA WAANDISHI HABARI PAMOJA NA JUMUIYA YA MASHEIKH WA JUMUIYA YA ZAWIYATUL QADIRIA

Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athumani Rehani (katikati) akizungumza na waanshi wa habari (hawapo pichani) juu ya kujiuga na mfuko huo leo jijini Dar es Salaam. kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Media Car Wash for Cancer,Benjamin Thomson na kulia ni Afisa Matekelezo Mkuu wa NHIF,Hance Mwankenja. Mwenyekiti wa Kamati ya Media Car Wash for Cancer,Benjamin Thomson akizungumza na waanshi wa habari juu ya kujiuga na mfuko wa Taifa wa Bima ya...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAHLISO yapata viongozi wapya

JUMUIA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imepata uongozi mpya. Katika uchaguzi huo Musa Mudede, Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bugando cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

KACU yapata viongozi wapya

CHAMA Kikuu cha Ushirika wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga (KACU), kimepata viongozi wapya wa Bodi huku mjumbe mmoja akitaka kujivua madaraka hayo ya ujumbe baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chaumma yapata viongozi wapya

MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chaumma), Hashim Sipunda, amesema hana imani na Tume ya Uchaguzi, hivyo kuomba kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatenda haki. Sipunda alitoa...

 

10 years ago

Michuzi

Kamisheni ya Wanariadha yapata viongozi wapya

KAMISHENI ya Wachezaji wa Riadha, imepata viongozi wapya watakaoiongoza kwa miaka minne katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa shule ya Filbert Bayi, Mkuza Kibaha mkoani Pwani.
Kuundwa kwa Kamisheni za wachezaji kunatokana na agizo la Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC), ambako Bara la Afrika kupitia Anoca, iliagiza wanachama wake kutekeleza.
Lakini licha ya agizo hilo kutolewa, vyama na mashirikisho mengi yameshindwa kusimamia uanzishwaji wa Kamisheni hizo, ambazo ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Chadema yapata viongozi wapya Kigoma

b8

Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, Benson Kigaila akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Maktaba).

Na Mwandishi wetu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoani Kigoma, kimepata uongozi mpya wa chama hicho kufuatia uongozi uliokuwepo awali kujiuzulu na kuhamia chama cha Allience For Change and Transparency (ACT – Tanzania).

Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, Benson Kigaila, ambaye alikuwa msimamizi wa zoezi la kupatikana kwa viongozi hao...

 

9 years ago

Michuzi

TASO YAPATA VIONGOZI WAPYA WA TAIFA

Moja ya vyama muhimu katika kuleta mapinduzi ya Kilimo Nchini Tanzania ni Tanzania Agricultural Organisation (TASO). Pamoja na majukumu mengine, TASO ndio wamiliki na wasimamiaji wamaonyesho ya nanenane Nchini Tanzania. 

Hadi sasa TASO ina viwanja vitano vya maonyesho ya nanenane kwenye kanda za Kaskazini-Arusha, kandayalati –Dodoma, Mashariki – Morogoro, NyandazaJuu –Mbeya na Kanda ya Kusini – Lindi. Mfumo wa utendaji wa TASO umeanzia kwenye Kata, Wilaya, Mkoa, Kanda naTaifa. 
Juhudi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Kigoma yapata viongozi wapya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Kigoma kimepata viongozi wapya ngazi ya Mkoa na Wilaya katika uchaguzi uliyofanyika jana. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani