Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 51 Mapinduzi ya Zanzibar

Chini ya uongozi wa Karume, Zanzibar inatajwa kama nchi iliyokuwa ikipiga hatua nzuri hasa katika maendeleo ya uchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zanzibar na miaka 51 ya Mapinduzi

Zanzibar yaadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, yalioung'owa utawala wa Sultani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 50

>Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein atawaongoza maelfu ya wananchi wa Zanzibar, kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya visiwa hivyo leo.

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014.
Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha…

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGALAWA YA KUADHIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdilah Jihad, akisalimiana na manahodha wa ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa yaliofanyika katika ufukwe wa pwani ya forodhamchanga Zanzibar. Ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa zikiwa katika matayarisho ya kuaza resi hizo.Jumla ya ngalawa 10 zimeshiriki resi hizo zilizofanyika katika ufukwe wa foromchanga. Ngalawa zinazoshiriki resi za ngalawa zikiwa katika matayarisho ya kuaza resi hizo.Jumla ya ngalawa 10 zimeshiriki resi hizo zilizofanyika katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatima ya mkwamo wa kisiasa

Juma lililopita makala haya yaliishia ‘Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume kuuawa. Mwalimu Nyerere alimweka kizuizini mmoja wa watu waliotuhumiwa kupanga Mapinduzi, Abdulrahman Babu’. Endelea.

 

9 years ago

Michuzi

MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI WAFUNGULIWA ZANZIBAR.

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbalimbali alipohudhuria katika Ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia sehemu za mbali kwa kutumia kamera maalum zilizowekwa juu ya Mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatma ya mkwamo wa kisiasa

Zanzibar iliyogubikwa na mtafaruku wa kisiasa kufuatia kufutwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu inaadhimisha miaka 52 tangu kufanyika mapinduzi, Januari 12, 1964.

 

10 years ago

Vijimambo

JK KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, leo Jumatatu Januari 12, 2015JK na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis MwamunyangeJK, akisabahiananna Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"JK akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani