Ulipuaji miamba marufuku usiku
Wachimbaji wa madini katika Kijiji cha Nsungwa kwenye machimbo ya dhahabu wamepigwa marufuku kulipua miamba kwa kutumia baruti wakati wa usiku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Virusi vya corona :Polisi sita kushtakiwa kwa mauaji waliyotekeleza wakati wa 'marufuku ya kutembea usiku'
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Muarobaini ulipuaji wa mabomu watimia
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imesema imeweka mikakati ya kudhibiti milipuko ya mabomu inayoendelea kutokea nchini.
Akizungumza na Mzalendo, juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, alisema hawezi kutaja aina ya mikakati, lakini ipo na ni mikubwa.
“Tumejipanga kikamilifu na kwa nguvu zote kukomesha hali hii, tukisema tutafanya nini itakuwa si vizuri maana tutawapa maadui zetu nafasi ya kutujua, lakini wewe fahamu mikakati ipo na mikubwa,” aliongeza.
Aliwataka wananchi kuwa wepesi wa...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wananchi waandamana kupinga ulipuaji GGM
WANANCHI wa kijiji cha Katoma mkoani hapa wameandamana kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Omar Manguchie, kupinga shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu unaoendeshwa na kampuni ya dhahabu ya Geita...
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Miamba 32 yapangiwa makundi
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Ulipuaji mabomu wawapa hofu wenye ulemavu
VITENDO vya ulipuaji wa mabomu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi mara kwa mara, vimekuwa vikilaumiwa na watu wenye ulemavu. Lawama hizi zinatokana na watu hao kushindwa kujitetea katika kujiokoa kwenye...
10 years ago
Habarileo31 Aug
Mwingine aongezwa kesi ulipuaji bomu kanisani
KESI ya ulipuaji bomu wakati wa uzinduzi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi lililopo Jijini Arusha Mei 5 mwaka jana na kuua watu watatu na wengine kadhaa kujeruhiwa juzi ilichukua sura mpya baada ya mtuhumiwa mwingine kuongezwa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kKeY8ZcLXOs/VEU_9qSQp5I/AAAAAAAGsFo/bxNUwmoG8y0/s72-c/New%2BPicture%2B(3).bmp)
KIONGOZI WA ULIPUAJI WA MABOMU JIJINI ARUSHA AUWAWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-kKeY8ZcLXOs/VEU_9qSQp5I/AAAAAAAGsFo/bxNUwmoG8y0/s1600/New%2BPicture%2B(3).bmp)
Kiongozi wa matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Arusha,SACP Liberatus Sabas (pichani) Alisema kuwa tukio hilo limetokea October 19 majira ya saa tano na nusu katika barabara ya babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia polisi.
Alisema kuwa...
10 years ago
Dewji Blog21 Oct
Gaidi mkuu wa ulipuaji wa mabomu auwawa Arusha na Polisi
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/140.jpg)
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.
Kiongozi wa matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio hilo limetokea October 19 majira ya saa tano na nusu katika barabara ya Babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia...