Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwingine aongezwa kesi ulipuaji bomu kanisani

KESI ya ulipuaji bomu wakati wa uzinduzi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi lililopo Jijini Arusha Mei 5 mwaka jana na kuua watu watatu na wengine kadhaa kujeruhiwa juzi ilichukua sura mpya baada ya mtuhumiwa mwingine kuongezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka, lajeruhi kanisani

Mtu mmoja amejeruhiwa baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Ziwa Victoria, Makongoro Misheni, Mwanza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomu lapatikana kanisani Kenya

Waumini katika kanisa moja nchini Kenya wanakila sababu ya kumshukuru mola wao baada ya bomu iliyokuwa imetegwa ndani ya kanisa kupatikana wakati wa ibada.

 

11 years ago

GPL

MAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA KANISANI JIJINI MWANZA

Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana usiku. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, amesema mlipuko unaodaiwa kutokea jana, ulitokana na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliolipua bomu kanisani sheria ichukue mkondo wake

MEI 5 mwaka huu kulitokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Imani, Dayosisi ya Mashariki Ziwa Victoria, mkoani Mwanza. Hakika tukio hilo ni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Sugu Kushinda Kesi,Faiza Asema Bora Kufa Kuliko Kumuona Sasha Akilelewa na Mama Mwingine

Baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ kushinda kesi mahakamani ya kutaka apewe amlee mtoto wake aitwaye Sasha,aliyekuwa mzazi mwanzake,Faiza Ally amefunguka kuwa ni bora kufa kuliko kumuona mtoto wake akilelewa na mama mwingine wakati yeye yupo hai.

Sugu alimfikisha mahamakani mzazi mwenziye kwa madai kuwa ameshindwa kumlea mtoto wao kwa kuwa mama huyo si mwadilifu.

Faiza ameandika hivi kupitia Akaunti ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Chris Brown aongezwa muda jela

Mwanamuziki wa Marekani Chris Brown atasalia jela kwa siku nyingine 131 baada ya kukiri kukiuka amri ya mahakama kuhusu kifungo cha nje alichokuwa amepewa na mahakama.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal

Ametia saini mkataba wa miaka miwili kama meneja wa klabu hiyo hadi mwaka 2017.

 

11 years ago

Mwananchi

Ulipuaji miamba marufuku usiku

Wachimbaji wa madini katika Kijiji cha Nsungwa kwenye machimbo ya dhahabu wamepigwa marufuku kulipua miamba kwa kutumia baruti wakati wa usiku.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Muarobaini ulipuaji wa mabomu watimia


NA RABIA BAKARI
SERIKALI imesema imeweka mikakati ya kudhibiti milipuko ya mabomu inayoendelea kutokea nchini.
Akizungumza na Mzalendo, juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, alisema hawezi kutaja aina ya  mikakati, lakini ipo na ni mikubwa.
“Tumejipanga kikamilifu na kwa nguvu zote kukomesha hali hii, tukisema tutafanya nini itakuwa si vizuri maana tutawapa maadui zetu nafasi ya kutujua, lakini wewe fahamu mikakati ipo na mikubwa,” aliongeza.
Aliwataka wananchi kuwa wepesi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani