Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUUPATIA MUAROBAINI MGOGORO WA ENEO LA ITUHA MBEYA-WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila wakikagua ramani ya eneo la Ilomba lenye mgogoro kati ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo-TARI Uyole na wananchi kabla ya kufanya ziara kugagua maeneo hayo wakiambatana na wananchi jana Tarehe 9 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo) Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila wakiambatana na wananchi wakikagua eneo la Ilomba lenye mgogoro kati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tunapaswa kujivunia kwa kuongeza eneo la uzalishaji wa mbegu, miche bora pamoja usajili wa Wakulima na watoa huduma za kilimo – Waziri Hasunga

Afisa Mawasiliano serikalini Wizara ya Kilimo Ndg Issa Sabuni (Mwenye Fulana) jambo mbele ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mwenye Tai) wakati wa uzinduzi wa mtandao wa kutoa habari (Kilimo Tv) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano maarufu Kilimo IV Jijini Dodoma tarehe 8 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (asiye na Tai) na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof Siza Tumbo (Mwenye kaunda suti). (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AIAGIZA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI KUANISIHA NA KUTOA TAKWIMU SAHIHI ZA ENEO LA UMWAGILIAJI NCHINI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Katikati) akizungumza wakati akizindua Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ndogo ya TANAPA Jijini Dodoma leo Tarehe 12 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mhandisi  Marko Ndonde. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akizindua Baraza...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA ABAINISHA TAARIFA YA UZALISHAJI WA KOROSHO, SERIKALI YAINGIZA ZAIDI YA TRILIONI 3.3

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitoa taarifa ya miaka minne ya uzalishaji wa zao la Korosho nchini ambapo amebainisha kuwa uzalishaji umeongezeka maradufu. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Na Mathias Canal, Wizara ya KilimoWAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga (Mb) ametoa taarifa ya uzalishaji wa zao la Korosho katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli ambapo amebainisha kuwa uzalishaji...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSAAFU MHE MIZENGO PINDA, NYUMBANI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akimtembeza Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kujionea mashamba ya zabibu alipozuru katika eneo la Zuzu leo tarehe 7 Aprili 2020 Jijini Dodoma. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb)...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA IHAKIKISHE KILIMO KINASIMAMIWA KIKAMILIFU-WAZIRI HASUNGA



Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga akiongea na Menejimenti ya Wizara kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kilimo IV Wizarani hapo.Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (katikati) akiwa pamoja na Manaibu Waziri wa Wizara hiyo. Kushoto ni Naibu Waziri Mhe. Hussein Bashe na Kulia ni Naibu Waziri Mhe.Omary Mgumba wakiwa katika kikao cha menejimenti ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AWAHAKIKISHIA WATANZANIA MAVUNO YA MAZAO YATAKUWA YA KUTOSHA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akikagua shughuli za maendeleo wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe tarehe 11 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akizungumza na Mkuu wa uendeshaji wa kampuni ya PCT Ndg John Power wakati akikagua eneo maalumu lililopemndekezwa na kampuni hiyo kwa ajili ya uzalishaji wa mbegu za Pareto wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe tarehe 11 Aprili 2020.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI I


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitangaza msimamo wa serikali kuhusu Mazao yatakayouzwa kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani ofisini kwake Jijini Dodoma juzi tarehe 30 Mei 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)



Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma

Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.

Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA ATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MBOLEA YA KUKUZIA (UREA)

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa ya hali ya upatikanaji wa mbolea nchini, hafla iliyofanyika Jijini Dar es slaam leo tarehe 19 Februari 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Sehemu ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano wa Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kutoa taarifa ya hali ya upatikanaji wa mbolea nchini, hafla iliyofanyika Jijini Dar es slaam leo tarehe 19 Februari 2020.Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani