WAZIRI HASUNGA ATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MBOLEA YA KUKUZIA (UREA)
![](https://1.bp.blogspot.com/-2FhokAA68-s/Xkz60Yn8kXI/AAAAAAAAWA8/ylXoa1ODAzspyJ-vwirf1_XePuv-yiZ9wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_8937.jpg)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa ya hali ya upatikanaji wa mbolea nchini, hafla iliyofanyika Jijini Dar es slaam leo tarehe 19 Februari 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Sehemu ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano wa Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kutoa taarifa ya hali ya upatikanaji wa mbolea nchini, hafla iliyofanyika Jijini Dar es slaam leo tarehe 19 Februari 2020.
Waziri wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU MKOANI MANYARA
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI I
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitangaza msimamo wa serikali kuhusu Mazao yatakayouzwa kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani ofisini kwake Jijini Dodoma juzi tarehe 30 Mei 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.
Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.
Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA ATANGAZA MIFUMO MITATU UUZAJI WA KAHAWA, WANUNUZI BINAFSI RUKSA
10 years ago
StarTV07 Jan
EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.
comprar kamagra baratoKushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.
Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PDhirsT64-g/XvRndJfCReI/AAAAAAALvWE/YzrzU4pk7K0QcQMJlRcQQL1p3xcYMl3SQCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
KUSHUKA KWA BEI YA MAZAO KUSIWAKATISHE TAMAA-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-PDhirsT64-g/XvRndJfCReI/AAAAAAALvWE/YzrzU4pk7K0QcQMJlRcQQL1p3xcYMl3SQCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
Amesema Serikali inaendelea kulifanyia kazi hilo na kwamba bei ya mazao nchini itaimarika baada ya kuongezeka kwa ujenzi wa viwanda vya kuchakata mazao...
10 years ago
StarTV18 Dec
Kushuka kwa bei ya Dhahabu, Kampuni zaaswa kutopunguza wafanyakazi.
Na Shaabani Alley,
Shinyanga.
Wakati bei ya dhahabu katika soko la dunia ikiwa imeshuka, Serikali imetoa wito kwa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya ACACIA kutopunguza wafanyakazi kwenye migodi yake ukiwemo wa Buzwagi wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Bei ya Dhahabu kwa mwaka 2014 imekuwa chini ya dola 1,300 kwa ounce moja kwa muda mrefu na kufikia Novemba bei ilikuwa 1,129 kwa ounce moja hali ambayo imeleta mtikisiko wa uendeshaji wa makampuni ya uchimbaji wa Dhahabu.
Ilikuwa ni siku...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Nqqwi-P4Www/XusMi8PnJUI/AAAAAAALuX0/k0WRPcszNeMyM2-WobGzHwoiFBPN3aSyQCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
BASHUNGWA AWAHAKIKISHIA WATANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA"
Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na waagizaji wa mafuta wanaoficha bidhaa hiyo kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu yatakapoadimika au kupanda bei.
Waziri Bashungwa aliyasema Juni 17, 2020 jijini Dar es salaam katika kikao kazi na Watendaji wa Mamlaka za Tume ya Ushindani (FCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Wakala...
10 years ago
Bongo Movies15 Mar
JB Atangaza Kununua ‘Script’ Nzuri kwa Bei Yoyote
Staa wa Bongo Movies ambae ni mwigizaji na mwogozaji wa filamu,Jacob Stephen ‘JB’ amesema ukosefu wa wandishi wazuri wa script kuwa ni moja kati ya matatizo yanayoikambili tasnia ya filamu hapa Bongo, akitolea mfano wa wewe kutafuta script kwa muda sasa bila mafanikio.
“Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo kwenye tasnia ya filam ni waandishi wa script, hatuna waandishi wa kutosha, jamani mbona wasomi wa fani hii wapo, nina miezi mitano natafuta script sijapata, ukiletewa ni vituko...