WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MIFUMO MITATU UUZAJI WA KAHAWA, WANUNUZI BINAFSI RUKSA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza mikakati ya serikali kwenye zao la Kahawa wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Kahawa Wilayani Mbozi Mkoani Songwe uliofanyika katika ukumbi wa kanisa la Moravian Sala-Ichenjezya leo tarehe 9 Juni 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Sehemu ya wadau wa sekta ya Kahawa wakifuatilia hotoba ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza mikakati ya serikali kwenye zao la Kahawa wakati akizungumza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRC MALIMA ATAKA WAKULIMA WAUZE KAHAWA YAO KWA BEI NZURI AUNGA MKONO WANUNUZI BINAFSI
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)
5 years ago
MichuziHATUTAKI MANENO TUNATAKA WANUNUZI WENYE FEDHA, RC KAGERA AWATAKA WANUNUZI WA KAHAWA KUINGIA SOKONI
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA-UZALISHAJI WA KAHAWA WAONGEZEKA WAFIKIA TANI 214,962
Waziri wa Kilimo, Mhe Japhet Hasunga (Mb)
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
WAZIRI wa Kilimo, Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya Tano ya Dkt. John Magufuli zao la Kahawa limeweza kufikia uzalishaji wa tani 214,962 .
Ametoa kauli hiyo Jijini Dodoma wakati akizungumzia mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya Kahawa katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya tano na kusema kuwa kwa wastani kila mwaka imekuwa ikizalisha tani 51,777 ya...
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI I
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitangaza msimamo wa serikali kuhusu Mazao yatakayouzwa kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani ofisini kwake Jijini Dodoma juzi tarehe 30 Mei 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.
Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2FhokAA68-s/Xkz60Yn8kXI/AAAAAAAAWA8/ylXoa1ODAzspyJ-vwirf1_XePuv-yiZ9wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_8937.jpg)
WAZIRI HASUNGA ATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MBOLEA YA KUKUZIA (UREA)
![](https://1.bp.blogspot.com/-2FhokAA68-s/Xkz60Yn8kXI/AAAAAAAAWA8/ylXoa1ODAzspyJ-vwirf1_XePuv-yiZ9wCLcBGAsYHQ/s640/IMG_8937.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-HyrI60EgK4c/Xkz7R9ZS3nI/AAAAAAAAWBM/_QAsWmoNlvovVVdHWyII3psYfsK4mJklQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_8929.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-En-GJt1Pin4/Xkz615KbglI/AAAAAAAAWBA/YFbY0fe-MmAzhPU-UGJ2pEV8cWssaKc4gCLcBGAsYHQ/s640/IMG_8926.jpg)
5 years ago
CCM BlogWAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.
Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...
5 years ago
MichuziRC KAGERA AWATAKA WANUNUZI WA KAHAWA KUINGIA SOKONI
10 years ago
Habarileo25 Sep
Mgombea binafsi 'ruksa’
RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, bungeni jana, imeruhusu kuwepo kwa mgombea binafsi, lakini ikamwekea vizingiti vya utekelezaji wa nia yake.