17 wanaswa tuhuma ya kulipua mabomu
POLISI imesema imekamata watu 15, wanaotuhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu jijini Arusha na usajili wa vijana kwa lengo la kuwasafirisha kwenda nje ya nchi, kujiunga na vikundi vya kigaidi. Pia, watu hao wanatuhumiwa kutaka kulipua maeneo mengine, hasa taasisi za Serikali na maeneo ya mikusanyiko ya watu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania01 Aug
Mtandao hatari wa mabomu wanaswa
![Mtanzania](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mtanzania-010814.jpg)
Mtanzania
Eliya Mbonea na Janeth Mushi, Arusha
WATU 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, wakidaiwa kuhusika na uingizaji, ulipuaji na usafirishaji wa mabomu pamoja na kumwagia watu tindikali.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kununua mabomu hayo Jamhuri na Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, kililiambia MTANZANIA kuwa watuhumiwa hao akiwamo Sheikh wa Msikiti wa Bondeni jijini hapa na mfanyakazi wa Benki ya Stanbic,...
11 years ago
GPLWANASWA NA MABOMU 7, RISASI 6, BARUTI JIJINI ARUSHA
11 years ago
Habarileo15 Jul
Wanaswa kwa tuhuma ya kuiba maji ya Dawasa
WAKAZI watatu wa Dar es Salaam jana walikamatwa na polisi kwa tuhuma ya kujiunganishia maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kinyume cha sheria.
10 years ago
Habarileo15 Mar
Wanaswa kwa tuhuma za kupora mikoba ya wanawake
WATU wawili wanashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuwapora watu vitu mbalimbali, ikiwemo mikoba ya akinamama na kisha kutokomea kusikojulikana.
11 years ago
Habarileo14 Apr
Wanaswa kwa tuhuma ya kuwa na heroin kwenye kondomu
VIJANA wawili wenye asili ya kiasia, wakazi wa jijini hapa, wametiwa mbaroni na polisi mkoani hapa kwa tuhuma ya kukutwa na kete 170 za dawa za kulevya aina ya heroin na bangi kete 300.
11 years ago
Habarileo20 Jun
'Acheni kulipua matumbawe'
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imekemea ulipuaji wa mabomu katika matumbawe yaliyoko baharini kwani kwa kufanya hivyo kunaharibu uhifadhi wa samaki pamoja na kuharibu mazingira.
10 years ago
Mwananchi09 May
Inashangaza wabunge kulipua Bajeti ya Elimu
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Boko Haram washutumiwa kulipua Daraja
11 years ago
Mwananchi23 Jul
TUHUMA: Mwamuzi wa Fifa asakwa kwa tuhuma za wizi