Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Assad akana kutumia mabomu hatari

Rais wa Syria Bashar Al Assad amekanusha madai kuwa jeshi lake limekuwa likitumia mabomu yenye athari kubwa kwa waasi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mabomu hatari yanaswa



NA CLARENCE CHILUMBA, MASASI JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashilkilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mabomu 18 ya kutengenezwa kwa kutumia vifaa hatari vya kupasulia miamba. Habari za kuaminika zinasema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti kutokana na kuishi maeneo tofauti. Pia walinaswa na nyaya na unga maalumu ambao ni malighafi zinazotumika katika kutengeneza mabomu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Augustino Ullomi, alisema watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mapema...

 

10 years ago

CloudsFM

DAZ BABA AKANA KUTUMIA ‘UNGA’

wiki iliyopita ilisambaa picha ikimuonyesha msanii wa Bongo Fleva aliyekuwa mmoja wa mwanamuziki wa kundi la Daz Nundaz,Daz Baba amechoka na kuonyesha kuwa anaumwa na anahitaji msaada.
Msanii huyo amezungumza na xxl clouds fm alisema kuwa amesikitishwa na taarifa hizo kwani ni uzushi na kwamba yeye ni mzima haumwi na akizungumzia ishu ya kutumia unga alikana kutumia madawa ya kulevya.

 

11 years ago

Mtanzania

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtanzania

Mtanzania

Eliya Mbonea na Janeth Mushi, Arusha

WATU 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, wakidaiwa kuhusika na uingizaji, ulipuaji na usafirishaji wa mabomu pamoja na kumwagia watu tindikali.

Watuhumiwa hao wanadaiwa kununua mabomu hayo Jamhuri na Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, kililiambia MTANZANIA kuwa watuhumiwa hao akiwamo Sheikh wa Msikiti wa Bondeni jijini hapa na mfanyakazi wa Benki ya Stanbic,...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta akana kutumia #Bunge la Katiba kusaka Urais 2015, ajipigia debe kiaina[VIDEO]

Wakati joto la Urais mwakani likizidi kuongezeka nchini, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta ameweka wazi kuwa hana nia ya kuwania Urais kwa kutumia kigezo cha kuongoza Bunge hilo maalum.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwakyembe Akana kutumia Richmond Kumchafua Lowassa...... Umoja wa Ulaya nao wakana kuhusika Kumchafua


WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameibuka na kusema hajawahi kumshambulia kwenye mitandao Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhusu sakata la Richmond.Kauli hiyo ya Dk. Mwakyembe imekuja siku chache baada ya kusambazwa kwa waraka unaodaiwa kuandikwa naye, ukimuhusisha na tuhuma za kumshambulia Lowassa, jambo ambalo amelifananisha kuwa ni sawa na siasa za kitoto.
Akizungumza jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha redio Clouds FM,...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

10 years ago

Daily News

Prof Assad new CAG


Daily News
Prof Assad new CAG
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Professor Mussa Juma Assad the new Controller and Auditor General (CAG) effective November 5. Professor Assad fills in the position left by Mr Ludovick Utouh who retired in September. The statement sued by ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Assad aisifu Urusi

Rais wa Syria Bashar al-Assad anasema kuwa kuingia kwa Urusi katika vita nchini mwake kumeleta mabadiliko

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani hatimae itazungumza na Assad

John Kerry asema hatimae patakuwa hakuna budi ila kuzungumza na Rais Assad kumaliza vita Syria

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani