Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof Assad new CAG


Daily News
Prof Assad new CAG
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Professor Mussa Juma Assad the new Controller and Auditor General (CAG) effective November 5. Professor Assad fills in the position left by Mr Ludovick Utouh who retired in September. The statement sued by ...

Daily News

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA PROF MUSSA ASSAD KUWA CAG MPYA, KUAPISHWA KESHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMWAPISHA CAG MPYA, PROF MUSA JUMA ASSAD IKULU JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014.… ...

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Assad awa CAG mpya

Profesa Mussa Juma AssadRAIS Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

10 years ago

Mtanzania

CAG Profesa Assad aanza kukunjua makucha

Profesa Mussa Juma Assad

Profesa Mussa Juma Assad

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Professa Mussa Juma Assad, ameanza kukunjua makucha kwa kuwaonya watu wanaochanganya siasa na biashara.

Profesa Assad alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa mwaka wa wahasibu na wakaguzi zaidi ya 3,000 unaoendelea kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mjini hapa.

“Kuna kitu nakiita kuchanganya siasa na wafanyabiashara, nawaambia lazima utenganishe mwingiliano binafsi...

 

10 years ago

Mwananchi

CAG Profesa Assad asema moto ni uleule

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya, Profesa Mussa Assad amesema ataanza kazi kwa moto uleule ulioachwa na mtangulizi wake, Ludovick Utouh aliyestaafu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. Assad usikubali kuyumbishwa

RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Ludovick Utouh ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Profesa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

 Profesa Mussa Juma Assad---  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani