Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madini ya Sh15.8 bilioni yakamatwa yakitoroshwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA), umekamata madini yenye thamani ya Sh15.8 bilioni yaliyokuwa yakitoroshwa kwenda nje ya nchi bila ya kibali na kukwepa kulipa kodi ya mapato.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madini ya milioni 547/= yakamatwa yakitoroshwa

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umefanikiwa kukamata watoroshaji wa madini yenye thamani ya Sh milioni 547, katika muda wa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madini ya mil. 547 yanaswa yakitoroshwa nje

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umekamata watoroshaji madini aina mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 547 katika matukio 11 tofauti, kuanzia Oktoba 2013 hadi mwishoni mwa...

 

10 years ago

Michuzi

TMAA yapiga mnada madini yaliyokamatwa yakitoroshwa nje ya nchi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng. Ngosi Mwihava akizungumza kabla ya kuanza kwa mnada wa kwanza wa madini yaliyokamatwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bruno Mteta (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Madini Tanzania, Richard Kasesera (wa pili kulia), Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Uchumi na Biashara, Salim Salim...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Biteko: Sekta ya Madini inaongoza kwa ukuaji wa uchumi nchini,makusanyo yamepaa kutoka Bilioni 39/- hadi Bilioni 58/- kwa mwezi

 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wajumbe wa warsha iliyoandaliwa kwa lengo la kuandaa kitabu cha viashiria hatarishi (Risk Registry) vya Wizara ya Madini iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Madini Dodoma leo Mei 18, 2020. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Augustine Ollal. (Picha na Wizara ya Madini).  Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wajumbe wa warsha iliyoandaliwa kwa lengo la...

 

11 years ago

Habarileo

TMAA yaokoa bilioni 15/- vita ya utoroshaji madini

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) umefanikiwa kudhibiti utoroshaji wa madini yenye thamani takribani Sh bilioni 15.72 katika viwanja vitatu vya ndege hapa nchini tangu mwezi Julai 2012 hadi Machi 2014 na imeahidi kuongeza kasi ya udhibiti.

 

5 years ago

Michuzi

Bilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini

Na Greyson Mwase, DodomaKATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepatikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi.
Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yamlipa mchimbaji mdogo zaidi ya Bilioni 7.74 kwa madini yake ya Tanzanite


Mchimbaji mdogo wa madini, Saniniu Kurian Laizer, akimkabidhi waziri wa madini Dotto Biteko mawe ya Tanzanite yenye thamani ya zaidi ya  Shilingi Bilioni 7.74 katika hafla fupi iliyofanyika Mirerani.Pichani kati ni Naibu Waziri wa Madini  Mhe.Stansalus Nyongo
Katibu Mkuu wizara ya Madini Prof Simon Msanjila akizungumza wakati wa hafla ya kupokea madini kutoka kwa mchimbaji mdogo wa Mirerani.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira (wa Pili Kushoto), Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA MRADI MKUBWA WA REA WA SHILINGI BILIONI 25.7 MKOANI SIMIYU

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo leo amezindua mradi wa umeme vijijini uliotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Pili, mkoani Simiyu ambapo vijiji 170 vimeunganishwa na mradi huo. Ninawasilisha picha za matukio pamoja na captions kwa ajili ya kuchapishwa kwenye vyombo vyenu vya habari ili kuhabarisha umma. Aidha, captions zinapatikana mwishoni mwa email hii.Mwananchi kutoka katika kijiji cha Nyanguge kilichopo wilayani Bariadi mkoani Simiyu akiwasilisha...

 

5 years ago

Michuzi

MCHIMBAJI MDOGO WA MADINI YA TANZANITE KUTAMBULIWA RASMI KUWA BILIONEA BAADA YA KUPATA MAWE MAWILI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 7.8

Mawe makubwa mawili ya Tanzanite moja lina kilo 9.2 ambalo lina thamani ya shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.Afisa Madini akionyesha moja ya jiwe la Tanzanite lilipatikana
 Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema  kuwa leo Wizara inamtabua Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Bw. Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata  mawe  makubwa mawili yenye thamani ya shilingi  bilioni 7.8. Katibu Mkuu amesema kuwa mchimbaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani