Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madini ya milioni 547/= yakamatwa yakitoroshwa

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umefanikiwa kukamata watoroshaji wa madini yenye thamani ya Sh milioni 547, katika muda wa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madini ya mil. 547 yanaswa yakitoroshwa nje

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umekamata watoroshaji madini aina mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 547 katika matukio 11 tofauti, kuanzia Oktoba 2013 hadi mwishoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Madini ya Sh15.8 bilioni yakamatwa yakitoroshwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA), umekamata madini yenye thamani ya Sh15.8 bilioni yaliyokuwa yakitoroshwa kwenda nje ya nchi bila ya kibali na kukwepa kulipa kodi ya mapato.

 

10 years ago

Michuzi

TMAA yapiga mnada madini yaliyokamatwa yakitoroshwa nje ya nchi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng. Ngosi Mwihava akizungumza kabla ya kuanza kwa mnada wa kwanza wa madini yaliyokamatwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bruno Mteta (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Madini Tanzania, Richard Kasesera (wa pili kulia), Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Uchumi na Biashara, Salim Salim...

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya madini ya Sh670 milioni yaahirishwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro imeahirisha kesi inayomkabili raia wa India, Anurag Jain (45) ya kukutwa na gramu 2,015 za madini ya Tanzanite yenye thamani ya Dola 310,137 za Marekani (sawa na Sh670 milioni).

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI, MAKAMPUNI YA MADINI ‘KUWANOA’ WAZAWA KATIKA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI

Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje akiwakaribisha wajumbe wa mkutano wa kujadili ushirikishwaji wazawa (local content) katika sekta ya madini uliofanyika jijini Mwanza hivi karibuni. Waliokaa meza kuu kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi Kitengo cha Uchumi na Biashara, Salim Salim, Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ndalo Kulwijila na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele. Mwanasheria wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Rose Mponguliana akiwasilisha mada kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

TEITI YAWANOA WANDISHI WA HABARI WA BIASHARA NA MADINI JUU YA UWAI SEKTA YA MADINI

41Mwenyekiti wa Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi katika Mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI), Jaji Mstaafu, Mark Bomani akifungua warsha ya siku moja kwa wadau na wandishi wa habari za biashara, mkutano uliofanyika Ledger Plaza Bahari Beach Hotel jijini Dar es Salaam, Mei 7, mwaka huu.1Afisa mahusiano Mkuu wa TEITI, Catherine Mbatia akimkaribisha rasmi Mwenyekit wa TEITI, Jaji Mark Boman kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa Warsha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani