Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya madini ya Sh670 milioni yaahirishwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro imeahirisha kesi inayomkabili raia wa India, Anurag Jain (45) ya kukutwa na gramu 2,015 za madini ya Tanzanite yenye thamani ya Dola 310,137 za Marekani (sawa na Sh670 milioni).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Aliyekamatwa na Tanzanite ya Sh670 milioni atozwa faini

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Sh10.5 milioni raia wa India, Anurag Jain (45) baada ya kupatikana na hatia ya kutaka kusafirisha nje madini ya Tanzanite yenye thamani ya Sh670 milioni kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Gwajima yaahirishwa

Josephat GwajimaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeshindwa kumsomea maelezo ya awali Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya matusi na kushindwa kuhifadhi silaha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya ghorofa yaahirishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana imeahirisha kesi ya mauaji ya watu 27 kutokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya wanablogu yaahirishwa Ethiopia

Kesi ya wanablogu kumi waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya ugaidi imeahairishwa hadi Agosti 20.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya wafanyakazi Swissport yaahirishwa

KESI inayowakabili wafanyakazi wawili wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, imeshindwa kusikilizwa kutokana na wakili wa washitakiwa kutofika mahakamani.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya kuteka mwanafunzi yaahirishwa

KESI ya kumteka mwanafunzi wa darasa la pili, inayomkabili Mkulima Juma Hamis (41) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi Machi 18 mwaka huu itakapoendelea kusikilizwa.

 

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA

Mahakama ya Kisutu imeahirisha  kesi ya mwanamuziki Chid Benz dhidi ya dawa za kulevya mpaka Februari  26.  Mwanamuziki huyo alikamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akijitayarisha kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye tamasha la muziki.…

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Kesi ya Kubenea, Makonda yaahirishwa

KESI iliyofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda dhidi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea katika Mahakama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, imeahirishwa. Anaandiaka Yusuph Katimba … (endelea).Akiahirisha kesi hiyo, hakimu anayesimamia kesi hiyo Thomas Simba amesema uchunguzi umekamilika na kwamba upande wa mashitaka na kwamba imepangwa kuanza kusikilizwa tarehe 29 Desemba

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Kazembe na wenzake yaahirishwa

KESI ya mauaji inayomkabili Ofisa Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirishwa hadi Septemba 16 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani